Sijui anataka kurudi kwani ndiye aliyeniumiza

Sijui anataka kurudi kwani ndiye aliyeniumiza

Ushauri wangu tafuta muda Wa kukaa naye umuulize kama kweli anakupenda ukishapata jibu lake ndo uanze kulifanyia kazi.
 
Sasa sisi tutajuaje?
muulize mwenyewe je ni kweli amedhamiria au anakupima2?
 
Back
Top Bottom