Tuliachana muda wa miaka miwili. Sasa naona jamaa anataka kurudisha mawasiliano baada ya kusikia nachat sana na rafiki yake wa kiume.
Nikimuuliza mbona hivi anadai nimsamehe anasema ulikuwa utoto. Na anataka kufika kwangu wakati zamani alikuwa hataki kuja anaweka visingizio namkataza anasema basi niende kwake.
Kwa sasa nimemaliza shahada yangu ya pili na ninatafuta kazi. Sasa nipo njia panda au ananipima tu.
Kwa kawaida ukiona umeachana na msichana na akawa bado anaendeleza urafiki na rafiki zako ujue huyo bado anakupenda, ile kuwa na rafiki zako anakuwa anakumbuka uwepo wako. So dada Shmy bado unampenda jamaa, uongo?
Sio kivile, alafu ukikosana na rafiki yako wa kike ina maana hata ambao walikuwa shemeji zako unawachunia. Mi nafikiri sio sahihi kuwapotezea.
Ukiendelea kuwa karibu nao uwezekano wa kurudiana ni mkubwa sana, au hao rafiki zake m1 lazima akuchungulie papuchi, hivyo ndivyo ilivyo kubali au kataa
kama alikuumiza, kwanini uko njia panda? naona una kila dalili za kutaka kumsamehe, una uhakika gani kama amedadilika? Kumbuka tabia ya mtu haibadiliki bali huahirisha kwa muda. kama unataka maumivu mengine mrudie. Ila kumbuka mbwa peke yake ndio anatapika na kula, sasa naona unataka kua mbwa.
Tuliachana muda wa miaka miwili. Sasa naona jamaa anataka kurudisha mawasiliano baada ya kusikia nachat sana na rafiki yake wa kiume.
Nikimuuliza mbona hivi anadai nimsamehe anasema ulikuwa utoto. Na anataka kufika kwangu wakati zamani alikuwa hataki kuja anaweka visingizio namkataza anasema basi niende kwake.
Kwa sasa nimemaliza shahada yangu ya pili na ninatafuta kazi. Sasa nipo njia panda au ananipima tu.
Cjui unaitwa Apouch, soma vizuri post yangu na ujue connection ya kuweka wasifu. Pili siwezi kukurupuka na kufanya maamuzi naelewa umhmu wa utafiti na hapa ni sehemu ambayo naweza kukusanya data kabla ya kufanya conclusion. Najua kuna waelewa humu ndani ambao wanatoa majibu mazuri na yenyd tija na wale waropokaji. Cjui we. hupo wapi
Tangu muachane hajatokea potential candidate? Sijui kwako lakini ukiamua kuachana na mtu usirudi nyuma, angalia mbele coz zipo opportunities nyingi.
Kuna kukosea mkuu naona hata yeye bado anampenda ajiamini tu aweke vgezo na masharti tu waanze kuhesabu
Huu nao ni mtazamo. Hivi ndivyo anavosomeka huyu, lkn anatembea na majuto ndio shida inayo mliza.
Anatakiwa ajikomboe sasa kwa hayo majuto katika vgezo vyake maana lazima amhoji huyo aliepotea na sasa anataka kuludi
Amkubalie tu. Utamhoji mtu unayempenda? Unadhani kama ni wew unataka kumrudia dem wako...akikuhoji utafeli??? IKIWA WEW NDO MWENY NIA HUWEZI KUFELI. Atafeli yey mke sio mme.