Sijui anataka kurudi kwani ndiye aliyeniumiza

Sijui anataka kurudi kwani ndiye aliyeniumiza

Tuliachana
muda wa miaka miwili. Sasa naona jamaa anataka kurudisha mawasiliano
baada ya kusikia nachat sana na rafiki yake wa kiume. Nikimuuliza
mbona hivi anadai nimsamehe anasema ulikuwa utoto. Na anataka kufika
kwangu wakati zamani alikuwa hataki kuja anaweka visingizio namkataza
anasema basi niende kwake. Kwa sasa nimemaliza shahada yangu ya pili na
ninatafuta kazi. Sasa nipo njia panda au ananipima tu.
kuna kipolo cha kupasha ila sio icho cha miaka miwili, alikuwa wap?
usipashe kipolo ni mkosi tupu. kipolo wali unaweza fumba macho ukapasha
ila cha ugari?????????
 
kuna kipolo cha kupasha ila sio icho cha miaka miwili, alikuwa wap?
usipashe kipolo ni mkosi tupu. kipolo wali unaweza fumba macho ukapasha
ila cha ugari?????????

Hahahaha umeua. Cha ugali hapan kupashwa. Umetisha asante kwa ushauri mzuri.
 
Nawashukuru kwa ushauri wenu mzuri nimependa maoni yenu mazuri. Ngoja nichanganye na mawazo niliyokuwa nayo ili nitoe majibu yenye kuleta amani. Wote tuna dini na tunafundishwa kuwa na aman na watu wote. Hata nikikutana naye salamu iwepo kwan cc co wanyama.
 
rudi kule kwa jamaa yako maana hata waoaji wa wanake wenye Masters ni wachache sana usije kosa bahati bure
 
Tuliachana muda wa miaka miwili. Sasa naona jamaa anataka kurudisha mawasiliano baada ya kusikia nachat sana na rafiki yake wa kiume.

Nikimuuliza mbona hivi anadai nimsamehe anasema ulikuwa utoto. Na anataka kufika kwangu wakati zamani alikuwa hataki kuja anaweka visingizio namkataza anasema basi niende kwake.

Kwa sasa nimemaliza shahada yangu ya pili na ninatafuta kazi. Sasa nipo njia panda au ananipima tu.

Follow ur heart mamaaa
 
Kama huyo rafiki yake wa kiume umeshampa mzigo yaani papuchi, hapo ujue watakuwa wameshakutana na kuelezana jinsi walivokufanya. Ndo maana jamaa anataka kurudi ili wakuchangie uwe cha wote. Unarudia mataapishi ya miaka miwili yote? Hapo kuna kuna tatizo
 
Mi cna mahusiano yoyote na rafiki yake na hata kuwaza kwamba naweza kudate naye hapana. Cjawah hata kukutana naye kwan twachat tu kupitia mitandao ya kijamii. Mi nipo mkoa mwingne tofauti na yeye. Na yeye hajawah nitamkia jambo lolote la mapenzi.
 
Hongera kwa hilo,, hapo unaonyesha una msimamo, ila weka umakini pia kwa huyo rafiki yake
 
Tuliachana muda wa miaka miwili. Sasa naona jamaa anataka kurudisha mawasiliano baada ya kusikia nachat sana na rafiki yake wa kiume.

Nikimuuliza mbona hivi anadai nimsamehe anasema ulikuwa utoto. Na anataka kufika kwangu wakati zamani alikuwa hataki kuja anaweka visingizio namkataza anasema basi niende kwake.

Kwa sasa nimemaliza shahada yangu ya pili na ninatafuta kazi. Sasa nipo njia panda au ananipima tu.
usisahau kuweka tangazo lako jukwaa la ajira all the best.
 
dah" km we bado unampend bc zidi kumchngz bt km humtak tena mkaushie
 
Nakushauri utumie busara yako na utumie maisha yenu ya mahusiano kama silaha ya maamuzi. Kuna njia mbili zilizo wazi katika hoja yako... Njia ya kwanza inawezekana ukarudiana nae na mkawa na future nzuri sana kwani awali inawezekana umri na tamaa zinaweza kua zilichangia kuharibu haiba yenu na sasa mnarudi kitofauti mkiwa na akili na matazamio tofauti... Hapa nashauri umrudiane ili mgeuze upande wa pili wa shilingi ambao ndio wenye maisha yenu. Its not easy to get a right man ma sister. Njia ya pili ambayo hutopenda kuisikia inawezekana wivu ndio unamfanya akutake tena ila mapenzi nawe yalishaisha tangu mmeachana, hapa uchunguze kwa umakini kwani atakufanya asusa na ukishtuka anakupa kadi za harusi yake na ampendae umsambazie...Take time usikubali kuongozwa na genye kwani utatendwa tena. Pia kama wewe ndio ulikua chanzo cha kuachana basi fungua akili zaidi. Mwisho mshirikishe mungu ili akupe utambuzi wa hili jambo zito na muhimu ktk mustakabadhi wa maisha yako... Jioni njema.
 
Kwani papuchi inauzwa ukiwapenda wote wape kwa zamu na uwapangie ratiba na kila mmoja azingatie
 
Back
Top Bottom