Maulid Thabit
New Member
- Jan 19, 2015
- 3
- 0
nimeangalia vp ww
Nna imani kua wewe umevukamiaka 18 na unajua mzuri na mbaya wako.angalia sababu mlizo achania na je anakuja kujilia aishie au kuna maisha pamoja baadae,je moyo wako unamtaka tena na uko tayari kuvumilia chungu na raha yake? raha yake unaijua wewe na chungu yake unaijua wewe......Tuliachana muda wa miaka miwili. Sasa naona jamaa anataka kurudisha mawasiliano baada ya kusikia nachat sana na rafiki yake wa kiume.
Nikimuuliza mbona hivi anadai nimsamehe anasema ulikuwa utoto. Na anataka kufika kwangu wakati zamani alikuwa hataki kuja anaweka visingizio namkataza anasema basi niende kwake.
Kwa sasa nimemaliza shahada yangu ya pili na ninatafuta kazi. Sasa nipo njia panda au ananipima tu.
Mengine hata hayaitaji ushauri ni ww mwenyewe kuamua tu.
Mtu anapoomba ushauri co kwamba muhusika anakuwa hana maamuzi ya kufanya . Lakin kuna watu wana experience ya mambo hayo wanaweza kukuongezea maharifa au kukupa tahadhari. Kusoma co kigezo kuweza kumaliza matatizo peke yako. Ndo maana hata kipengele hk katika jamii forum kipo. Mara nyingi moyo unaweza taman kitu bila kujua undan wa mtu. Reference ni muhmu jaman kwa wale wapondaji.

Appuch mbona una-like kila comment inayoshauri huyu dada arudi?? ni wewe muhusika??
halafu jina lako ni kama mtoto mdogo akiambiwa sema 'papuchi' atasema apuch au ukivuruga hizo herufi utapata pappuch!

Pole xana mdada! Shahada ya pili au ya tatu...mm hainisumbui. Kinachonisumbua mm ni graduates wa sasa wanavopata tabu ktk kuamua kwa usahihi mambo madogo madogo ya kimaisha hasa ukanda huu wa mahusiano na mapenzi. ILIFIKA WAKATI NIKAFANYA MAAMUZI MAGUMU kwenye mahusiano ya dadangu na mpenzi wake..na kumtangazia ccter wangu atafute mpenz alomzidi umri. Me, awe mkubwa na Ke awe mdogo kuliko ivo...ati ma-classmet ni wapenz na kila cku mna maamuzi na fikra za kucheza KOMBOLELA. Kwa nn pamoja na kusoma kwenu hamjaweza kujikomboa kifikra??? Kwa nn kila cku kichwa chako msomi kiwe kizito kwa kutingwa na vijimambo vidog vidogo ambavyo ukisema hadharani unakosa mashabiki...why??? NIMEWAONA WENGI WA SAMPULI HII, ndio maana nasema hivi.
Kama ni shida sana, shauri lako niletee pm. Nitakushauri bure, mara nyingi utakavyo. Humu ni kama unazishusha thamani izo shahada ulizosema.
Masuala ya Shahada yameingiaje? Hapo?
Mjukuu achA kudandia gar kwa mbele babu yAko huyo
Sitak....
Ndio nimeishauangalia
kwanini unanifanyia hivyo lakini
hongera huyu bibi yako hanielewi na simuelewi siku hizi