sijui ananitafuta nini?

sijui ananitafuta nini?

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,710
Reaction score
6,372
nilikuwa na mpenzi wangu tuliedumu naye miaka miwili kwa ahadi ya kuja kuishi pamoja. kutokana na shughli ninayofanya wakati mwingine inabidi nisafiri hadi nje ya nchi.
siku moja nikiwa Uganda akanipigia simu kuwa ana hamu na mimi make tulikua hatujaonana yapata kama miezi miwili na kule shughli ilikuwa imebaki wiki mbili nikamilishe.
nikamwomba awe mvumilivu nitarudi baada hizo wiki akakubali basi tukaongea mengi ya kumtia moyo make nilihisi anahisi anaibiwa.
basi siku ya siku ikawadiya nikamkuta stendi ananisubiri tulipokutana tu kuna kitu kilinstua make alikuwa hana furaha kama ninavyomfaham. ingawa alijitahidi kutokuonyesha hiyo hali.
kutokana na usongo wa naniliiiii tulikwenda hadi kwangu ingawa alikuwa ananambia anahisi dalili za malaria kwa kweli Mimi sikujali hiyo hali make nilikuwa na usongo sanaa ukizingatia alikuwa ananipa maneno matamu ya kunitadharisha na wakware nilipokuwa Uganda.
tulilala hadi asubuhi na siku ilibidi nichukuwe jukumu la kupika breakfast make tulichoka balaa na hapo ndipo kimbwmbwe kilipoanzia.
INAENDLEA......
 
Itaendelea toleo lijalo, jamaa kapigwa na radi wakati anaandika hii hadithi.
 
nitarudi bado nimebanwa kidogo "stay tune"
 
nitarudi bado nimebanwa kidogo "stay tune"
naendeleaa..
akaanza kutapika baada tu ya kunywa chai mi nikajua malaria ndo imepanda ikabidi nimwaishe hosptli nikampigia mamake sim akaja wachukua vipimo mi nikaondoka kwa ahadi ya kurudi baadaye kwa kuwa nilitakiwa kwenda kuripoti kazini kumbuka ni karibia miezi mitatu nilikuwa nje kikazi.
niliripoti sikukaa sana niliomba mapumziko kwa kusingizia uchov wa safari nikakubaliwa niliporud sikumkuta binti wala mama yake nikapiga sim wakanambia wako home.
nikaenda mpaka kwao make alishantambulisha kwa hiyo wananijua hata kwenye mahitaji madogo madogo ingawa siyo ya kila siku nami nimo.
nilipofika mama akankaribisha wakati binti amelala chini ya mti shem wangu akanipa kiti nikakaa karb na mchumb wangu nikamuliza vp vipimo vinasemaje?
akanambia amepima ikaonekana dalili ya mimba, basi moyoni kwa kweli nilihisi furaha nikajisemea ntaenda kuandika tarehe niliyompa mpenzi wangu mimba.
wakati tunaendelea na mazungumzo ya hapa na pale na Shem mama akiwa ndani Mara nkasikia honi ya gari
 
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::mvutaji:
 
Honi ya gari ikapigwa na mwenye mimba,,,, endelea sasa!!!!
 
naendeleaa..
akaanza kutapika baada tu ya kunywa chai mi nikajua malaria ndo imepanda ikabidi nimwaishe hosptli nikampigia mamake sim akaja wachukua vipimo mi nikaondoka kwa ahadi ya kurudi baadaye kwa kuwa nilitakiwa kwenda kuripoti kazini kumbuka ni karibia miezi mitatu nilikuwa nje kikazi.
niliripoti sikukaa sana niliomba mapumziko kwa kusingizia uchov wa safari nikakubaliwa niliporud sikumkuta binti wala mama yake nikapiga sim wakanambia wako home.
nikaenda mpaka kwao make alishantambulisha kwa hiyo wananijua hata kwenye mahitaji madogo madogo ingawa siyo ya kila siku nami nimo.
nilipofika mama akankaribisha wakati binti amelala chini ya mti shem wangu akanipa kiti nikakaa karb na mchumb wangu nikamuliza vp vipimo vinasemaje?
akanambia amepima ikaonekana dalili ya mimba, basi moyoni kwa kweli nilihisi furaha nikajisemea ntaenda kuandika tarehe niliyompa mpenzi wangu mimba.
wakati tunaendelea na mazungumzo ya hapa na pale na Shem mama akiwa ndani Mara nkasikia honi ya gari

Mbona unatutesa lakini namna hii?? Tafadhali ma admini chukueni hizi hadithi muziunge sehemu moja , maana haya ni mateso sasa , natoka ntarudi baadae
 
Pole asee story haijaisha ila nshajua umegongewa hadi...:mimba::mimba::mimba:
 
Back
Top Bottom