St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Msiri wangu hata wewe?
Hahahahah nilikuwa nalipa madeni ya like ambayo ckuzitoa 4so long,c ww 2 niwewapa wengi 2
Yaani hapa hata sijielewi,wacha nikuume sikio basi,
mwenzio nikajua ndo nishapendwa hivyo...
Sasa Mtakatifu Pusy wa blaki mbona mi naona kifua huna?
Kama vile kipo likizo?
Yaani huna siri hivi?
Inawezekana Ciello kumiminia milaiki yote hiyo ikawa ndo kishatepeta kwako!
Na aidha akawa kafanya hivyo kisirisiri , ili nawe ufate steps hizohizo.
So far wewe kumtangaza ukiwa umepanda mnara wa kampuni ya simu, huoni yawezakua umemuumbua?
Yaani hapa hata sijielewi,wacha nikuume sikio basi,
mwenzio nikajua ndo nishapendwa hivyo...
chaka hlo.
Hata mimi umenipaHahahahah nilikuwa nalipa madeni ya like ambayo ckuzitoa 4so long,c ww 2 niwewapa wengi 2
Lol! Masai club, enzi zangu nasoma nilikua napenda sana kuja hapo siku ya J.5 , ivi wale wadada wengiwengi usiku bado wapo, wameongezeka au wamepungua ?
Ata mie jana alinipa!Yaani hapa hata sijielewi,wacha nikuume sikio basi,
mwenzio nikajua ndo nishapendwa hivyo...
Asante na mie jana nilizipata!Hahahahah nilikuwa nalipa madeni ya like ambayo ckuzitoa 4so long,c ww 2 niwewapa wengi 2
Lol! Masai club, enzi zangu nasoma nilikua napenda sana kuja hapo siku ya J.5 , ivi wale wadada wengiwengi usiku bado wapo, wameongezeka au wamepungua ?
mmmh! wanamke bure si ni leo au? napendaga tu kuwaona warembo wazuriwazuri watoto wa tanga, hakuna lingine zaidisaivi wapo wengi tena totoz wa ukwee!
saivi wapo wengi tena totoz wa ukwee!
Nami nasubiria madeni yangu ya LIKE nilipwe nami.