Sijielewi...

Sijielewi...

Imepita 4 months tangu niseme it's over to my boyfriend... na nimekuwa nikijisikia furaha ya ajabu hadi najishangaa...kwani uhusiano wetu ulijawa na humiliations nyingi kutoka kwake ambazo nimekuwa nikizivumilia kwa kuwa nilimpenda kwa dhati na niliamini huenda siku moja zingekwisha lakini haikuwa hivyo zaidi ilikuwa ni kujitesa na kujiumiza... Tatizo limekuja hv karibuni, najisikia nimekabwa na kitu hapa kooni kana kwamba kuna kitu nahitaji kusema lkn nashindwa, inafika kipindi huwa naona machozi yanatoka yenyewe bila kujitambua, wakati sina tatizo linalonisumbua... Mbaya zaidi leo nimeamka nikiwa na huzuni nyingi ambayo sielewi imetoka wapi au imesababishwa na nini... Nisaidieni mwenzenu... Ni nini hiki maana sijielewi.
Naomba uni-PM mimi mara moja nitakusaidia
 
pole sana! nimeguswa sana na tatizo lako kama utaweza chukua hiyo hapo namba ya daktar mmoja alimsaidia sana rafki yngu nae alikuwa anatatzo kama hilo lako atakushaur nn cha kufanya kwan humu JF kuna baadhi ya watu watakukatisha tamaa bure wao utukana badala ya kushaur,fanya hivyo naamini atakushaur vizuri sana,kwan hata rafki yngu alimfanyia cancelling na sasa yupo safi kabisa:
Dr.Bahati 0657344406
 
Imepita 4 months tangu niseme it's over to my boyfriend... na nimekuwa nikijisikia furaha ya ajabu hadi najishangaa...kwani uhusiano wetu ulijawa na humiliations nyingi kutoka kwake ambazo nimekuwa nikizivumilia kwa kuwa nilimpenda kwa dhati na niliamini huenda siku moja zingekwisha lakini haikuwa hivyo zaidi ilikuwa ni kujitesa na kujiumiza... Tatizo limekuja hv karibuni, najisikia nimekabwa na kitu hapa kooni kana kwamba kuna kitu nahitaji kusema lkn nashindwa, inafika kipindi huwa naona machozi yanatoka yenyewe bila kujitambua, wakati sina tatizo linalonisumbua... Mbaya zaidi leo nimeamka nikiwa na huzuni nyingi ambayo sielewi imetoka wapi au imesababishwa na nini... Nisaidieni mwenzenu... Ni nini hiki maana sijielewi.

If you don't mind... kama kuna mwanaume uko 'karibu' naye, jitahidi mfanye mapenzi. Ukitoka kufanya mapenzi jisikilize kama hilo tatizo bado lipo. Kama lipo ni la hospitali. Kama litakuwa limeisha, then tafuta mpenzi wa kudumu au wa muda...

Niko siriaz...
 
Huyo jamaa tayar amesha kwenda kwa babu, chamuhimu we jipange,! Ukichelewa tu lazima atakurudia tu tena kwa ridhaa yako mwenyewe! so kama humtaki na ww nenda kwa babu
 
Imepita 4 months tangu niseme it's over to my boyfriend... na nimekuwa nikijisikia furaha ya ajabu hadi najishangaa...kwani uhusiano wetu ulijawa na humiliations nyingi kutoka kwake ambazo nimekuwa nikizivumilia kwa kuwa nilimpenda kwa dhati na niliamini huenda siku moja zingekwisha lakini haikuwa hivyo zaidi ilikuwa ni kujitesa na kujiumiza... Tatizo limekuja hv karibuni, najisikia nimekabwa na kitu hapa kooni kana kwamba kuna kitu nahitaji kusema lkn nashindwa, inafika kipindi huwa naona machozi yanatoka yenyewe bila kujitambua, wakati sina tatizo linalonisumbua... Mbaya zaidi leo nimeamka nikiwa na huzuni nyingi ambayo sielewi imetoka wapi au imesababishwa na nini... Nisaidieni mwenzenu... Ni nini hiki maana sijielewi.

pole sana dada yangu, ni sehemu tu ya maisha na mapito ya kimapenzi!!
me nadhani tatzo kubwa ni upweke ulio nao kwa sasa coz kuna vitu ulikuwa unavipata now huvipati ki saikolojia tu lazima uadhirike!! naomba ni PM kama hutojali nitaku advise cha kufanya
 
hauna tatizo lolote lile ni kawaida sana kuamka na huzuni maana kama siku zingine unakuaga na furaha basi ni dhahiri kwamba siku zingine utaamka na huzuni sema juu ya hilo kitu kukukaba..open up and talk u cant be all that strong..!!

Ni kweli kabisa unachosema, mimi pia hutokewa na haki hiyo, yaani nakuwa na huzuni siku nzima na hali hii hunitokea mara moja labda kwa mwaka. Kama ni hali ya siku moja sio tatizo ila kama itaendelea dawa pekee ni kuongea na mtu
 
Itakua hajajisumbua kukutafuta msolve tatizo kwahiyo inakutia hasira>>>>>>kula zako kona mana inaonekana na yeye alikua anatamani muachane:A S 20::A S 20:
 
Dont panic and remove those thoughts..make sure you sleep well and dont forget to pray to your god every day any night and when you sleep and when you wakeup.wachawi watatumia mwanya huohuo kukuchezea
 
maamuzi sahihi huja wakati sahihi na usifanye maamuz magum wakat upo katika wakati mgum sasa wewe ulifanya maamuz magumu na wakat sio sahihi ndo mana unaumia kisaikolojia, cha kufanya mtafute jamaa afu mueleze mambo ya ukweli yaliyokufanya mtengane na fanya mazoez kila cku naamin itakusaidia.
 
mhhhh!...mwombe tu Mungu wako akusaidie mama maana huwezi jua usikute kakuloga huyo ili usiwe na furaha maishani mwako....otherwise bado unampenda ila unashindwa kujitambua ila ukimpata wa kumreplace hayo yote yataisha.
 
Natoa shukrani kwa wooote mlionipa ushauri na naahidi nitaufanyia kazi ushauri wenu, Mungu awabariki sana.
 
Kwaiyo umeamini kwamba ni nyege tu zinakusumbua, ukipata pa kuzitolea tatizo kwisha?
 
Back
Top Bottom