Sijielewi...

Sijielewi...

unataka uanze upya?unahitaji mabadiliko,furaha,raha e.t.c nitafute hata kwa PM,shda zako zitapungua..kwangu haupiki,hautukanwi,haufui nguo,ni kula gud tym tu.!
 
Imepita 4 months tangu niseme it's over to my boyfriend... na nimekuwa nikijisikia furaha ya ajabu hadi najishangaa...kwani uhusiano wetu ulijawa na humiliations nyingi kutoka kwake ambazo nimekuwa nikizivumilia kwa kuwa nilimpenda kwa dhati na niliamini huenda siku moja zingekwisha lakini haikuwa hivyo zaidi ilikuwa ni kujitesa na kujiumiza... Tatizo limekuja hv karibuni, najisikia nimekabwa na kitu hapa kooni kana kwamba kuna kitu nahitaji kusema lkn nashindwa, inafika kipindi huwa naona machozi yanatoka yenyewe bila kujitambua, wakati sina tatizo linalonisumbua... Mbaya zaidi leo nimeamka nikiwa na huzuni nyingi ambayo sielewi imetoka wapi au imesababishwa na nini... Nisaidieni mwenzenu... Ni nini hiki maana sijielewi.
hauna tatizo lolote lile ni kawaida sana kuamka na huzuni maana kama siku zingine unakuaga na furaha basi ni dhahiri kwamba siku zingine utaamka na huzuni sema juu ya hilo kitu kukukaba..open up and talk u cant be all that strong..!!
 
hasara moja uliyonayo ulipopisha tu mwenzio alizba gape...! hii nakuapa fact uzembe utakao ufanya iwapo utarudi yatakukuta makubwa zaidi ya haya,,,,,,, hapo mdada loneliness hakunaga kingine chezea upweke wewe fanya mpango umtafute mtu uwe naye kwenye relaltion but be care full ukipata rotten relation tena utayakumbuka yote badala ya kuyasahau! mimi yamenikuta ila sasa tayari nime release najipanga ingawa at some moments i feel lonely....! pole but be stand for you!
Kazi za nyumbani sio issue kwangu... na bora ht ningetolewa mangeu...ila visa vyake ni zaidi ya ngeu...
 
hasara moja uliyonayo ulipopisha tu mwenzio alizba gape...! hii nakuapa fact uzembe utakao ufanya iwapo utarudi yatakukuta makubwa zaidi ya haya,,,,,,, hapo mdada loneliness hakunaga kingine chezea upweke wewe fanya mpango umtafute mtu uwe naye kwenye relaltion but be care full ukipata rotten relation tena utayakumbuka yote badala ya kuyasahau! mimi yamenikuta ila sasa tayari nime release najipanga ingawa at some moments i feel lonely....! pole but be stand for you!
Najipanga...
 
ulimpenda kupita kiasi ndio sababu..

Siwezi kuongopa, ni kweli nilimpenda nahisi kuliko nilivyojipenda mwenyewe... Ilifikia mahali akinikosea mi ndo naomba yaishe...
 
Siwezi kuongopa, ni kweli nilimpenda nahisi kuliko nilivyojipenda mwenyewe... Ilifikia mahali akinikosea mi ndo naomba yaishe...

ndio maana anakusumbua sana jaribu kumkataa..
 
Njoo upate tulizo jipya, mi pia nimetosa kidem baada ya kuona kinandisturb utoto mwingi! Nimejikaza kwa muda sasa approaching 2yrs. So njoo tuanze upya ila uje kimaisha zaidi.
 
mmm mbona kazi so unamanisha kwamba inawezekana kakuroga au?
 
Inaonyesha ulikuwa unampenda sana ila umefanya maamuzi magumu thats why unakuwa na donge moyoni na kitu kinakaba kooni. Kama kweli umedhamilia jitahidi sana kuwa na marafiki zako wa kike na kutoka nao. Usijiingize kwenye maahusiano mapya kwa muda huu.
 
Njoo upate tulizo jipya, mi pia nimetosa kidem baada ya kuona kinandisturb utoto mwingi! Nimejikaza kwa muda sasa approaching 2yrs. So njoo tuanze upya ila uje kimaisha zaidi.

Bado nipo nipo sanaaa...
 
Inaonyesha ulikuwa unampenda sana ila umefanya maamuzi magumu thats why unakuwa na donge moyoni na kitu kinakaba kooni. Kama kweli umedhamilia jitahidi sana kuwa na marafiki zako wa kike na kutoka nao. Usijiingize kwenye maahusiano mapya kwa muda huu.
Ok...nashukuru kwa ushauri.
 
mie sijapata uhusiano wa hali unayoielezea kukupata na huyo boyfriend, ameingiaje tena wakati mmefunga kitabu? wamhitaj?
 
Back
Top Bottom