sijielewi..

fisi maji

Member
Aug 2, 2011
29
7
jamani mimi sijielewi napenda nn kwenye mapenzi nahitaji wajuzi wanijuze ukizingatia mie mgeni humu ndani..
karibuni wenyeji mgeni nipone..
 
jamani mimi sijielewi napenda nn kwenye mapenzi nahitaji wajuzi wanijuze ukizingatia mie mgeni humu ndani..
karibuni wenyeji mgeni nipone..
Kama wewe mwenyewe hujielewi, unategemea nani akuelewe zaidi? Jaribu kumuuliza mama yako anaweza akakuelewa maana ndiye aliyekuzaa na kukulea. Sisi wengine utatusumbua tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom