Sijawahi pata pm hata 1 tangu nifungue hii akaunti. Nifanyeje nipate PM za warembo?

Bashitee

Member
Mar 14, 2017
89
60
Wakuu nina Gundu au? Maana nasikia wengine wamefunga pm zao kwa kulemewa na msg , au hawataki hayo mawasiliano,
Mimi nayapenda jamani.
Mimi hata 1 tu sijapata
Tutakayoongea huko ni siri yetu
Screenshot_20170423-144853.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom