Kama kucheka anamchekea iweje yeye akose raha kwenye tabasamu tu??Huyu binti amefikia kujiona anaanza kuikosa furaha kwasababu huyo mwanaume wake hajawahi kumpea tabasamu zaidi ya day 1 alipo anza kumtongoza
Kama kutabasam ni shida hiyo kucheka itatoka wapi[emoji23]Kucheka ana cheka??
JIFUNZE KUWEKEZA KWENYE MAMBO YA UZALISHAJI MFANO ARDHI, NYUMBA KULIKO KUWEKEZA KATIKA MAPENZI, utalia Mchana kweupe.Habari zenu wadau,
Niende kwenye mada nina mpenzi wangu ambae sasa tunaenda takribani miaka miwili na kitu, ninampenda na nimewekeza mapenzi yangu yote kwake na yeye ameonyesha kuwa ananipenda, kifupi tupo kwenye mipango mingi nae.
Tatizo lililopo bwana huyu sijawahi ona tabasamu lake zaidi ya siku ya kwanza tuliokutana na kuanza kunitongoza mpaka leo hii, najaribu kumfurahisha kwa kila aina ya mapenzi ili nione labda ataonyesha kutabasamu na kunionyesha nami kuwa namridhisha kwa nimtendeayo lakini wapi.
Mpaka imefikia sasa napoteza kujiamini na kila nikimuuliza hunijibu kawaida tu hakuna tatizo. Nimewaza sana mimi uamuzi wangu ni wa kuachana nae.
Naombeni ushauri wenu labda kuna yaliwahi kumtokea na akarekebisha.
Ndio asitabasamu mtani...!?Yani kisa yatoi tabasamu ndio uachane nae? Kweli kusoma kitabu cha wanawake itanichukua maisha yote.
Mtu anakupa unachotaka, anakupenda kama unavyosema, mipango yenu inaenda vizuri, unachotaka nini, tabasamu?
Dah!
Hufuatilii misemo ya kiswahili mkuu.Mwanzo wa ngoma ni lele.Kucheka huanza na tabasamu.kuna tofauti ya kucheka na kutabasamu!
Spare mine too holy shit... [emoji16][emoji16], weka scrotum kwenye kisosi na poda. Asicheke tuone sasa!Spare my ribs,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Apo ndo simuelew mtoa mada, tabasam n subset ya kucheka sas iweje acheke af asitabasam ata siku moja!?, af kuchek m naona ndo inaonesha furaha zaid kuliko kutabasam.Kama kucheka anamchekea iweje yeye akose raha kwenye tabasamu tu??
Na mtu anawezaje kua anacheka bila kutabasamu??
Confused.
Hahahaha hivi kuna watu hawacheki jamani??Kama kutabasam ni shida hiyo kucheka itatoka wapi[emoji23]
Yani asitabasamu wakati anacheka? Hii yaweza kuwa chai,,lakini mtani mbona wapo watu antisocial, kucheka kwao ngumu sana.Ndio asitabasamu mtani...!?
Muda wote awe na sura kama ya mbuzi?
Hahahahaha acha basi love unanikumbusha akili zangu chumbani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]