Sijawahi ona tabasamu la mpenzi hata siku moja

wewe tabasamu la huko chini unamwonesha????????????? akiona hilo la huko mwenyewe moyoni tu anasuuzika. wengine huwa tunatabasamu kimoyo moyo ... usikonde bibie.

Habari zenu wadau,

Niende kwenye mada nina mpenzi wangu ambae sasa tunaenda takribani miaka miwili na kitu, ninampenda na nimewekeza mapenzi yangu yote kwake na yeye ameonyesha kuwa ananipenda, kifupi tupo kwenye mipango mingi nae.

Tatizo lililopo bwana huyu sijawahi ona tabasamu lake zaidi ya siku ya kwanza tuliokutana na kuanza kunitongoza mpaka leo hii, najaribu kumfurahisha kwa kila aina ya mapenzi ili nione labda ataonyesha kutabasamu na kunionyesha nami kuwa namridhisha kwa nimtendeayo lakini wapi.

Mpaka imefikia sasa napoteza kujiamini na kila nikimuuliza hunijibu kawaida tu hakuna tatizo. Nimewaza sana mimi uamuzi wangu ni wa kuachana nae.

Naombeni ushauri wenu labda kuna yaliwahi kumtokea na akarekebisha.
 
Haha sas tutaishije mtu hacheki jaman huhuhu mi nnavopenda kucheka ingebidi tu aniige,maana ningeanza kucheka akiniuliza unacheka nini namjb nacheka ulivonuna[emoji23] [emoji23]
Kwenye zile comments za mwanzo amedai jamaa hucheka ila shda ni tabasamu. Hivo inaonekana cheko huwa analitoa sometimes.

Sasa sja jua kwa nn ana demand saaana mchizi atabasamu.
 
Habari zenu wadau,

Niende kwenye mada nina mpenzi wangu ambae sasa tunaenda takribani miaka miwili na kitu, ninampenda na nimewekeza mapenzi yangu yote kwake na yeye ameonyesha kuwa ananipenda, kifupi tupo kwenye mipango mingi nae.

Tatizo lililopo bwana huyu sijawahi ona tabasamu lake zaidi ya siku ya kwanza tuliokutana na kuanza kunitongoza mpaka leo hii, najaribu kumfurahisha kwa kila aina ya mapenzi ili nione labda ataonyesha kutabasamu na kunionyesha nami kuwa namridhisha kwa nimtendeayo lakini wapi.

Mpaka imefikia sasa napoteza kujiamini na kila nikimuuliza hunijibu kawaida tu hakuna tatizo. Nimewaza sana mimi uamuzi wangu ni wa kuachana nae.

Naombeni ushauri wenu labda kuna yaliwahi kumtokea na akarekebisha.

This is purely non-sense. Hayatuhusu kabisa. This is your private business. Stop posting gibberish topics here.
 
Aisee,mbona una madai ya ajabuajabu sana.Unataka achekecheke kama zuzu?
Wanaume nyinyi sijui mnataka nini, mkiombwa pesa mnalalamika haya huyu kataka tu tabasamu ushaanza tena lawama loooo

MMENISHINDA TABIA
 
wanawake sijui mnataka nini kwa kweli,,,,
 
Attachments

  • Tafiti zinazoishi na sisi.JPG
    Tafiti zinazoishi na sisi.JPG
    64.8 KB · Views: 38
Hakufai Huyo sasa kama ndo mwanzo tu yuko ivo akifika katikati atakuwaje woi cpendagi watu wa ivo ila kama pesa IPO komaa
 
Habari zenu wadau,

Niende kwenye mada nina mpenzi wangu ambae sasa tunaenda takribani miaka miwili na kitu, ninampenda na nimewekeza mapenzi yangu yote kwake na yeye ameonyesha kuwa ananipenda, kifupi tupo kwenye mipango mingi nae.

Tatizo lililopo bwana huyu sijawahi ona tabasamu lake zaidi ya siku ya kwanza tuliokutana na kuanza kunitongoza mpaka leo hii, najaribu kumfurahisha kwa kila aina ya mapenzi ili nione labda ataonyesha kutabasamu na kunionyesha nami kuwa namridhisha kwa nimtendeayo lakini wapi.

Mpaka imefikia sasa napoteza kujiamini na kila nikimuuliza hunijibu kawaida tu hakuna tatizo. Nimewaza sana mimi uamuzi wangu ni wa kuachana nae.

Naombeni ushauri wenu labda kuna yaliwahi kumtokea na akarekebisha.
Umejaribu mbinu zote bila kufanikiwa? Hebu jaribu kumtekenya mbavu, (akikupa makofi mi simo)[emoji41]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom