Sijawahi ona tabasamu la mpenzi hata siku moja

Sijawahi ona tabasamu la mpenzi hata siku moja

Kama mambo mengine yuko vizuri mimi nakushauri uendelee nae tu manake unaweza kupata mwenye tabasamu unalolitaka lakini mambo mengine hayuko vizuri.
 
Yani kisa yatoi tabasamu ndio uachane nae? Kweli kusoma kitabu cha wanawake itanichukua maisha yote.

Mtu anakupa unachotaka, anakupenda kama unavyosema, mipango yenu inaenda vizuri, unachotaka nini, tabasamu?

Dah!
 
hujawahi kuona tabasam lake hata siku moja vs zaidi ya siku ya kwanza aliokutongoza ikiwa na maana siku ya kwanza alitabasam mbona maelezo yako yanamkanganyiko
 
Huwezi kumshika mpenzi wako korodani?!

Wanawake walikuwa wanamshika Hitler korodani ndio itakuwa huyu jamaa hana hata bunduki
Ofcourse I do sio kumshika tu nanyonya na kumng'ata kwa lips kabisa[emoji125] [emoji125] [emoji125] ila kwa huyo jamaa msiriazz huyo seems ngumu sana kumuanza wee mtu gani hatabasamu kwa mtu wake jamani ?? [emoji15] [emoji15] Tabasamu la mupee nalo lina utamu wake jamani mtabasamu inapobidi

Cc Smart911
 
Sasa mtu anatabasamu vp kama humfanyii mambo ya kunfanya atabasamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom