dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,220
- 54,877
Aisee, nyingi inaanzia ngapi ?Hizo km ni chache,.
Aisee, nyingi inaanzia ngapi ?Hizo km ni chache,.
Hapo kazidi hadi ukubwa wa engine ya Harrier New model cc 2400 sio michezo Dada kaongezewa mileage vibaya mnothubutu, dadeki imagine game kila baada ya siku 3
2 x 365 / 3 = 243 units
assume 10 km = 1 unit
hapo kaongezewa 2430 km kwenye Odometer, sio mchezo
Njoo kwangu. Nitakusaidia kumsahauHabari ndugu zangu! Nimeachana na mtu niliekua na mpenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja " last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia Haya "trisha mpenzi wangu nimekuwa nikiificha hii siri kwa mda wote huo tukiwa kwenye mahusiano sababu ninakupenda na bado ninakuhitaji ila kiukweli mimi nimeoa ni Mume wa mtu na nina mtoto 1 kwa kipindi chote hicho nmekuwa nikijitahidi sana usijue sababu nikihofia kukupoteza " Sasa nmeona sikutendei haki nmeona nikuambie ukweli ili ufanye maamuzi pia kwa upande wako
Baada ya hapo nilikuwa kama nimepigwa shot ya umeme niliondoka sikujibu chochote njiani nikawa nalia sana.... Nikarudi home nikapata nguvu ya kumtumia message "its over between us" baada ya hapo usiku wa saa 8 nilizidiwa sana nikapelekwa Hosp nikalazwa since iyo last week nmekuwa sijielewi mpaka sasa nashindwa hata kula chakula nakunywa vimiminika tu Juice, na maji what even worse hata usingizi ninakosa usiku lazima ninywe dawa za usingiz ndo nilale , nmefikia hatua mpaka nachoma sindano za tramadol for the sake of usingiz ndio nilale hata kidogo naumia , najiuliza maswali mengi, najilaumu why me naomba mnisaidie cha kufanya
munguWe jamaa una asili ya roho mbaya sana, kweli kama jina lako linavyosema imani hakuna. Badala umshauri hata akupe nafasi wewe umtulize mtima, unamshauri aende kwa waganga akaharibu ndoa... Yule mtoto mdogo na mama yake wana hatia gani kwenye hilo kosa??? Utawalea wewe???
Ushauri, sometimes mungu ana makusudi yake, analeta watu katika maisha yetu kwa sababu zake na anawaondoa watu katika maisha yetu kwa sababu zake pia. All in all mshukuru mungu, huwezijua amemuondoa huyo jamaa katika maisha yako kwasababu zipi, pengine hakua mtu sahihi katika maisha yako au pengine angekuja kukufanyia ubaya mkubwa zaidi huko mbeleni!!!!
Swala la mahusiano nje ya ndoa mimi binafsi, huwa naliepusha na mahusiano ya mungu kabisa. Kwasababu mahusiano ya nje ya ndoa hayapo kimungu zaidi cuz yanasababisha kumkasirisha mungu kwa kufanya ufuska wa kila aina (Kuzini/Kugegedana/Kudanganyana/Kusalitiana n.k) na kumfurahisha shetani.
So how would we forsake god and his laws then when things get messed up, we tend to cry back to him and blame him???. Kifupi, mungu anatukataza tusifanye jambo fulani, halafu sisi kwa ukaidi na ujeuri wetu binaadamu tunafanya, jambo hilo likigeuka chungu then tunakimbia kwa mungu kulia na kumuuliza, why me god??? Kwanini mimi tu eh mungu???
#Usichukue personal nliyoyasema, hayo ni mtazamo wangu binafsi.
kwa hii prophecy .. miaka hiyo tutakukumbuka utaishi kwenye kumbukumbu za watu Kama mwona maono ..nabii bujibuji...Time will come ambapo wanaume marijali tutahitaji ulinzi mkali sana, maana tutakuwa tukiwindwa na mashoga, wanawake na pia wale wanaume wasioweza kubebesha mimba watakuwa wakituwinda ili tukawape wake zao watoto
Halafu ukute jamaa ana mkuyenge wa maana ci ashakua bwawa!thubutu, dadeki imagine game kila baada ya siku 3
2 x 365 / 3 = 243 units
assume 10 km = 1 unit
hapo kaongezewa 2430 km kwenye Odometer, sio mchezo
Pole kwa maswahibu. Nakushauri usiendelee kuumiza moyo wakati mdomo wako unaweza kukurudisha furaha uliopoteza. Kumbuka ni ww uliemwandikia "its over betwen us". Kwa hiyo sikiliza maumivu ya moyo wako. Usiombe msamaha ila mwambie "Nakushukuru kuniambia ukweli" wachache wanamoyo kama yuo". Kwahiyo mpigie muongee. Na ukipendezeshwa enshi nae kwa mkataba... "Kumbuka ukimvulia mamba nguo hutakiwi kurudi nyuma...." ((Njoo nikupe Dawa utafanyikisha anzma yako kwa haraka))Habari ndugu zangu! Nimeachana na mtu niliekua na mpenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja " last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia Haya "trisha mpenzi wangu nimekuwa nikiificha hii siri kwa mda wote huo tukiwa kwenye mahusiano sababu ninakupenda na bado ninakuhitaji ila kiukweli mimi nimeoa ni Mume wa mtu na nina mtoto 1 kwa kipindi chote hicho nmekuwa nikijitahidi sana usijue sababu nikihofia kukupoteza " Sasa nmeona sikutendei haki nmeona nikuambie ukweli ili ufanye maamuzi pia kwa upande wako
Baada ya hapo nilikuwa kama nimepigwa shot ya umeme niliondoka sikujibu chochote njiani nikawa nalia sana.... Nikarudi home nikapata nguvu ya kumtumia message "its over between us" baada ya hapo usiku wa saa 8 nilizidiwa sana nikapelekwa Hosp nikalazwa since iyo last week nmekuwa sijielewi mpaka sasa nashindwa hata kula chakula nakunywa vimiminika tu Juice, na maji what even worse hata usingizi ninakosa usiku lazima ninywe dawa za usingiz ndo nilale , nmefikia hatua mpaka nachoma sindano za tramadol for the sake of usingiz ndio nilale hata kidogo naumia , najiuliza maswali mengi, najilaumu why me naomba mnisaidie cha kufanya
Umefanya kosa kukubali kumuacha haraka, kubali unampenda na unamuhitaji, mrudie alafu umuache taratibu taratibu hadi pale utakapomove on au kuanzisha mahusiano mapya, otherwise itakugharimu sana kutoka hapoHabari ndugu zangu! Nimeachana na mtu niliekua na mpenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja " last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia Haya "trisha mpenzi wangu nimekuwa nikiificha hii siri kwa mda wote huo tukiwa kwenye mahusiano sababu ninakupenda na bado ninakuhitaji ila kiukweli mimi nimeoa ni Mume wa mtu na nina mtoto 1 kwa kipindi chote hicho nmekuwa nikijitahidi sana usijue sababu nikihofia kukupoteza " Sasa nmeona sikutendei haki nmeona nikuambie ukweli ili ufanye maamuzi pia kwa upande wako