Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

Aisee. Pole sana

Hali hii inaumiza kwa kweli kwa sababu mtu uliyemuamini na kumpenda ametumia miaka miwili kukujuza jambo ambalo alipaswa akujuze mapema.

Maumivu uliyonayo nayaona yanafanana kama vile mwanaume anapogundua mke wake amechepuka.

Hali uliyonayo huwa inasumbua mwanzoni tu, baada ya muda moyo wako utakubaliana na matokeo kisha utakuwa vizuri.
 
Pole Sana karibu ukubwani Bora umepata hyo heart break ukiwa nje ya ndoa Sasa itakujengea immunity ya kuja kutokuumia huko mbeleni, halafu umia tu uwezavyo time heals everything. Huyo jamaa pia hakuwa muungwana angekwambiaga mapema ka alikuwa anakupenda ili kukuepushia naumivu unnecessary maana waliooa wengi huwa wako wazi. Mie mwenyewe nulipitiwa hyo situation and it took me two good years to heal, na Sasa hivi namuona huyo mjinga si hadhi yangu na aliniroga
Alikuroga ptuuuh!! 😁😁 hamna kurogwa wala nin,mapenzi ni timing tu
 
Pesa ndo kila kitu yaani haikukani wala kukusaliti ukiitunza vizuri...ee Mungu niongeze nijue jinsi ya kuzipata na kuzitunza pesa zisipite kwangu kama njia kwenda kwa Mo😁😁
 
Habari ndugu zangu! Nimeachana na mtu niliekua na mpenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja " last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia Haya "trisha mpenzi wangu nimekuwa nikiificha hii siri kwa mda wote huo tukiwa kwenye mahusiano sababu ninakupenda na bado ninakuhitaji ila kiukweli mimi nimeoa ni Mume wa mtu na nina mtoto 1 kwa kipindi chote hicho nmekuwa nikijitahidi sana usijue sababu nikihofia kukupoteza " Sasa nmeona sikutendei haki nmeona nikuambie ukweli ili ufanye maamuzi pia kwa upande wako
Baada ya hapo nilikuwa kama nimepigwa shot ya umeme niliondoka sikujibu chochote njiani nikawa nalia sana.... Nikarudi home nikapata nguvu ya kumtumia message "its over between us" baada ya hapo usiku wa saa 8 nilizidiwa sana nikapelekwa Hosp nikalazwa since iyo last week nmekuwa sijielewi mpaka sasa nashindwa hata kula chakula nakunywa vimiminika tu Juice, na maji what even worse hata usingizi ninakosa usiku lazima ninywe dawa za usingiz ndo nilale , nmefikia hatua mpaka nachoma sindano za tramadol for the sake of usingiz ndio nilale hata kidogo naumia , najiuliza maswali mengi, najilaumu why me naomba mnisaidie cha kufanya
Life about win-win situation, once you win some lose and vice versa.

Assume umelose kumpoteza huyo jamaa, lakini wife na mtoto wake wamewin kurudisha mapenzi ya Baba nyumbani.

Funga mkanda utaenda kuwin na wewe mbele ya safari.

Note:
Mapenzi yanasifa ya kuzaliwa, kukua na kufa...
 
Pole kwa maswahibu. Nakushauri usiendelee kuumiza moyo wakati mdomo wako unaweza kukurudisha furaha uliopoteza. Kumbuka ni ww uliemwandikia "its over betwen us". Kwa hiyo sikiliza maumivu ya moyo wako. Usiombe msamaha ila mwambie "Nakushukuru kuniambia ukweli" wachache wanamoyo kama yuo". Kwahiyo mpigie muongee. Na ukipendezeshwa enshi nae kwa mkataba... "Kumbuka ukimvulia mamba nguo hutakiwi kurudi nyuma...." ((Njoo nikupe Dawa utafanyikisha anzma yako kwa haraka))
Nisaidienii plz
 
Trust me baada ya vurugu hizi zote utayazoea hayo utakumbuka good moments zenu, utasamehe na kuacha yapite, utafunika kombe mwanaharamu apite ....!

Akitoke mwanaume wa kukava hiyo nafasi utamsahau ila asipo tokea utamrudia na kukubali kuwachepuko wake na mambo yakaendelea ila ukitaka kukifanya wewe mjanja utalia sana

Sent from my TECNO F2LTE using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo sindano za tramadol ndio zinakuletea usingizi?🙄
 
Pole sana mwaya ila usijali utakua sawa tu japo kwa sasa ni ngumu kiasi sababu ya mazoea, ila ipo siku utaona kawaida. Ila wanaume muwe wakweli tu from the beginning of mahusiano, mwambie mtu una familia ili aamue kuendelea na wewe or not. Siyo vizuri baadaye ndiyo unakuja na sharubu zako eti nna familia sikukwambia tu😬😬
 
Habari ndugu zangu! Nimeachana na mtu niliekua na mpenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja " last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia Haya "trisha mpenzi wangu nimekuwa nikiificha hii siri kwa mda wote huo tukiwa kwenye mahusiano sababu ninakupenda na bado ninakuhitaji ila kiukweli mimi nimeoa ni Mume wa mtu na nina mtoto 1 kwa kipindi chote hicho nmekuwa nikijitahidi sana usijue sababu nikihofia kukupoteza " Sasa nmeona sikutendei haki nmeona nikuambie ukweli ili ufanye maamuzi pia kwa upande wako
Baada ya hapo nilikuwa kama nimepigwa shot ya umeme niliondoka sikujibu chochote njiani nikawa nalia sana.... Nikarudi home nikapata nguvu ya kumtumia message "its over between us" baada ya hapo usiku wa saa 8 nilizidiwa sana nikapelekwa Hosp nikalazwa since iyo last week nmekuwa sijielewi mpaka sasa nashindwa hata kula chakula nakunywa vimiminika tu Juice, na maji what even worse hata usingizi ninakosa usiku lazima ninywe dawa za usingiz ndo nilale , nmefikia hatua mpaka nachoma sindano za tramadol for the sake of usingiz ndio nilale hata kidogo naumia , najiuliza maswali mengi, najilaumu why me naomba mnisaidie cha kufanya
Gharama zote hizo wakati pakiti moja tuu sh.500.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom