Sijawahi kuumia kama nilivyoumia hivi sasa nisaidieni

Habari ndugu zangu! Nimeachana na mtu niliekua na mpenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja " last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia Haya "trisha mpenzi wangu nimekuwa nikiificha hii siri kwa mda wote huo tukiwa kwenye mahusiano sababu ninakupenda na bado ninakuhitaji ila kiukweli mimi nimeoa ni Mume wa mtu na nina mtoto 1 kwa kipindi chote hicho nmekuwa nikijitahidi sana usijue sababu nikihofia kukupoteza " Sasa nmeona sikutendei haki nmeona nikuambie ukweli ili ufanye maamuzi pia kwa upande wako
Baada ya hapo nilikuwa kama nimepigwa shot ya umeme niliondoka sikujibu chochote njiani nikawa nalia sana.... Nikarudi home nikapata nguvu ya kumtumia message "its over between us" baada ya hapo usiku wa saa 8 nilizidiwa sana nikapelekwa Hosp nikalazwa since iyo last week nmekuwa sijielewi mpaka sasa nashindwa hata kula chakula nakunywa vimiminika tu Juice, na maji what even worse hata usingizi ninakosa usiku lazima ninywe dawa za usingiz ndo nilale , nmefikia hatua mpaka nachoma sindano za tramadol for the sake of usingiz ndio nilale hata kidogo naumia , najiuliza maswali mengi, najilaumu why me naomba mnisaidie cha kufanya
ila haya maisha bana,ukute hapo tena kuna mhuni anakosa usingizi kwa ajil yako,anakuvutia hisia kali anapiga nyeto.na uyo mwanaume alokutamkia ukweli usikute ukweni hawataki ata kumsikia
 
Habari ndugu zangu! Nimeachana na mtu niliekua na mpenda sana tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 2 na tumeachana baada ya yeye kuniambia ukweli kuwa ameoa tayari ana mke na mtoto mmoja " last week aliniomba tukutane akemi kwa ajili ya Dinner then baada ya hapo ndio akanitamkia Haya "trisha mpenzi wangu nimekuwa nikiificha hii siri kwa mda wote huo tukiwa kwenye mahusiano sababu ninakupenda na bado ninakuhitaji ila kiukweli mimi nimeoa ni Mume wa mtu na nina mtoto 1 kwa kipindi chote hicho nmekuwa nikijitahidi sana usijue sababu nikihofia kukupoteza " Sasa nmeona sikutendei haki nmeona nikuambie ukweli ili ufanye maamuzi pia kwa upande wako
Baada ya hapo nilikuwa kama nimepigwa shot ya umeme niliondoka sikujibu chochote njiani nikawa nalia sana.... Nikarudi home nikapata nguvu ya kumtumia message "its over between us" baada ya hapo usiku wa saa 8 nilizidiwa sana nikapelekwa Hosp nikalazwa since iyo last week nmekuwa sijielewi mpaka sasa nashindwa hata kula chakula nakunywa vimiminika tu Juice, na maji what even worse hata usingizi ninakosa usiku lazima ninywe dawa za usingiz ndo nilale , nmefikia hatua mpaka nachoma sindano za tramadol for the sake of usingiz ndio nilale hata kidogo naumia , najiuliza maswali mengi, najilaumu why me naomba mnisaidie cha kufanya
Pole sana kwa yaliyotokea, Ushauri wangu kwako :

1. Kubaliana na kilichotokea, amekuwa muungwana kukueleza ukweli ili ufanye maamuzi, ukitulia mtafute uongee nae kwa ajili ya closure, inawezekana na ni vizuri kuachana kistaarabu

2. Tafuta kitu cha kukushughulisha, kama huna kazi unaweza hata kujitolea kwenye kituo cha watoto yatima au taasisi yoyote ya kijamii, itakusaidia kukutana na watu wapya na kuyaona maisha kwa mtazamo tofauti , nasisitiza kuwa busy, muda unaponya majeraha ya hisia

3. Usifanye kosa la kuingia kwenye mahusiano mapya kwa sasa; unahitaji kupona kihisia kwanza

4. Kama utashindwa kustahimili tafuta msaada wa kisaikolojia , ukihitaji msaada zaidi nitafute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana karibu ukubwani Bora umepata hyo heart break ukiwa nje ya ndoa Sasa itakujengea immunity ya kuja kutokuumia huko mbeleni, halafu umia tu uwezavyo time heals everything. Huyo jamaa pia hakuwa muungwana angekwambiaga mapema ka alikuwa anakupenda ili kukuepushia naumivu unnecessary maana waliooa wengi huwa wako wazi. Mie mwenyewe nulipitiwa hyo situation and it took me two good years to heal, na Sasa hivi namuona huyo mjinga si hadhi yangu na aliniroga
 
Umeitaja Akemi ukanikumbusha kitu, nimepitia thread zako za nyuma nikagundua tatizo ni mfumo wako wa maisha.

Hapa chini ulitushauri lakini wewe hukuchukua tahadhari pia, ulishindwa vipi kumchunguza kama ameoa?

ohoo
 
Mateso yote ya nini si umtafute muyamalize usiteseke Dada angekuwa amekufa sawa
 
Huyu ana haki na kila sababu zote za kuumizwa, inaonesha sio wife material ndomana hakuwahi kujishughulisha kwenda hata nyumbani kwa mchizi kupaona, yeye akaridhia mahotelini. Tena ukute huyo jamaa aliyempiga chini ameoa within these 2 years walizokuwa tayari kwenye mahusiano baada ya kuona huyu binti sio riziki.
Umeitaja Akemi ukanikumbusha kitu, nimepitia thread zako za nyuma nikagundua tatizo ni mfumo wako wa maisha.

Hapa chini ulitushauri lakini wewe hukuchukua tahadhari pia, ulishindwa vipi kumchunguza kama ameoa?

mafisi waleeee pm

dada mtu hamna bond yoyote anakuumiza kichwa seriously?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom