Sijawahi kutongoza JF

Kwani we unapotongoza shida yako kuu inakuwa ni nini!!?
Mana hata kama jina la uongo na picha ya uongo
Ila papuchi inabaki pale pale haiwezi kuwa ya uongo.!
We kula dodo tu acha visirani kwa hawa warembo wetu humu.
 
Mimi pia sijawahi kutongoza, sababu kubwa ni kuwa

1: Humu bana ID nyingi ni fake, unaweza kutongoza kumbe ni kidume mwenzio anakulaghai tu

2: Kuna mabinti micharuko ukiwaendea PM wataweka jiuzi kubwaa kukuchamba hapa hadharani

3: ID nyingi hazitumii picha halisi za wahusika, yani wengi au niseme wote wameweka picha zisizo zao halisi hivyo huwezi kwanza kupata mwanga kwamba huyu mtu anamwonekano gani, unaweza kutupia vibe ukikutana nae kumbe mzazi wako.

Hivyo jamani naombeni tujitahidi kusaidiana kwa hayo, ya Mungu mengi huwezi jua leo na kesho.
 
Back
Top Bottom