Sijawahi kutoa mwanamke out

Sijawahi kutoa mwanamke out

Napita tu , niko mitaa ya mbele , kidogo mada hapa imeniwia magumu.
 
Mimi huwa namtoa sana tu, ila anataka nimpeleke kwenye bei (viwanja matawi ya juu). Lakini huwa naudhika sana tukiwa out kwani anakuwa busy na facebook kama vile mimi ni hewa tu

mwambie mkiwa wote simu yake aweke pembeni mambo gani hayo hiyo cm c analalaga nayo na kuamka nayo
 
Last edited by a moderator:
Mchele wenyewe ulivyokuwa bei rahisi siku hizi........
Ukitoa gharama za ulimaji inayobaki itatosha outing kweli?

Unaishi nchi gani wewe?
Kwanza unaujua mpunga wewe?

Mpunga umeshuka lini bei?
Kilo ni zaidi ya buku 2 halafu unapiga mwela tu hapa

Navuna kilo 200000 kila nikilima au huujui mpunga hebu tupia macho hapa
images
Hapo mpunga unakaribia kuiva

images
Hapo kwenye upandaji

images
Hapa nikivuna

Chezea mpunga wewe???
 
Safi sana mkuu hayo ni mambo ya kizamani mwaka mpya huu
Nalog off
 
hahahaaa we Eiyer wewe mi sitoi huduma ovyo ujuee, mpaka mgonjwa awe kwenye critical condition teh teh... Itabidi uje kwenye chumba cha upasuaji kabla hujalazwa jamvini LOL!

Yaani hapa niko kwenye kiritiko kondisheni hata hapa ananisaidia ku type jamaa yangu .......lol!!!!
 
Unaishi nchi gani wewe?
Kwanza unaujua mpunga wewe?

Mpunga umeshuka lini bei?
Kilo ni zaidi ya buku 2 halafu unapiga mwela tu hapa

Navuna kilo 200000 kila nikilima au huujui mpunga hebu tupia macho hapa
images
Hapo mpunga unakaribia kuiva

images
Hapo kwenye upandaji

images
Hapa nikivuna

Chezea mpunga wewe???

Huu mwaka mpya naona swagg mpya,full mapicha.
 
Back
Top Bottom