Sijawahi kusikia hawa wanaharakati wetu kikinuka wanakimbilia Uganda, wote ni Kenya tu

Sijawahi kusikia hawa wanaharakati wetu kikinuka wanakimbilia Uganda, wote ni Kenya tu

Nachoka mimi babu yake mwandambo! Kuna kikundi gan kenya kila sku wanakimbilia uko
Uganda Museven wetu, kikinuka hapa kwetu Mama na sisi tunayempambania pamoja na mauwaji yute tutaenda kule. na sisi tushikilie hapahapa kumpambambania mpaka ionekane kama hajauwa.
 
Hapana hawawezi kwenda Uganda kwa kua askari wa Uganda ndo walitupiga risasi Watanganyika ..
 
sjawahi kuskia wanaharakati wakikemea uchomaji wa nchi, inashangaza sana
Sijawahi kusikia wakikemea mauaji acha utekaji na ufiraji. WaTanzania waNasubiri zile ahadi uliahidi kutimiza ndani ya siku mia moja(100) tu baada ya uchaguzi. Tunasubiri uwatimizie ahadi wale 99.9%.
 
Back
Top Bottom