Sijawahi kupanda ndege

Panda aisee utoe ushamba...angalau watu wakipiga story za ndege upate cha kusimulia!
 
Kwako maendeleo ni kupanda ndege? shame on you CCM
ha ha ha ha ha ha nenda kule songwe kwa ndugu zako wa safwa utawaona walivyojazana airport kuja kushangaa ndege,wewe kipimo cha maendeleo ni nini mkuu
 
ha ha ha ha ha ha nenda kule songwe kwa ndugu zako wa safwa utawaona walivyojazana airport kuja kushangaa ndege,wewe kipimo cha maendeleo ni nini mkuu
Kama kweli wewe ni mwalimu hata kiswahili kinakushinda basi tutegemee ziro kuwa nyingi zaidi.
 

But simu yake akumbuke kuiweka "FLIGHT MODE"
 
KUNA BINTI NILIPANDA NAYE FASTJET KWENDA MWANZA.

BASI MKOJO UKAMKABA, MHUDUMU WA NDEGE AKAMWELEKEZA CHØO KILIPO.

YULE BINTI ALIOGOPA NA MKOJO WENYEWE AKAGHAIRI KUKOJOA

KAMA MNAVYOJUA, VYOO VIPO CHINI, KWA HYO BINTI ALIOGOPA ANAWEZA KUANGUKIA CHINI ARDHIN MOJA KWA MOJA. AHAHAHAHAH..
 
Ninaamini kwa asilimia mia moja ukifanikiwa kutua Mwanza utarudi kwa basi..
Ndege inapoanza kuruka au kutua lazima upoteze network kidogo. Hili naloulifahamu.. Mpaka uwe sugu inabidi upande mara kwa mara..
Mbona unanitisha mkuu?
 
Aisee
 
Wakuu habari za leo.
Kichwa kinajieleza, sasa nataka kuvunja rekodi hii, naomba kufahamu A to Z, nikitaka kwenda Mwanza toka Dar, naanzaje?
Nitafute kaka nafanya booking za Tiketi za ndege ndani na nje ya Nchi nucheki inbox tuwasiliane
 
Kwa yeyote anaeitaji kusafiri kwa usafiri wa anga( ndege) anicheki inbox me ni air travel agency
 
Selfie ruksa mixer ukitaka kufaidi ikishakaa sawa kule juu nenda hadi chooni ukajionee si unajua tena ushamba mzigo
We! we! we! yani unamdanganya mwenzio aende chooni kuchungulia?hujui kwamba anaweza kuteleza na kudonfokea juu ya nyumba za tembe za Dodoma alafu waseme mchawi kashushwa na makombora ya wagogo wa Chamwino?
 
ha ha ha ha ha niko kwenye taasisi inayosaidia watanzania wengi kama wewe kuwatoa tongo tongo ningependa ningekua na cheo kikubwa sana but i choose to die with a title of mwalim
Mhh!we sii mwalim Janeth kweli wewe?
 
uliwahi kuwa kondakta wa ndege bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…