Najipa moyo kuwa watakuwa wanaimba wimbo ambao style yake ni kupiga magoti....manake kwa hali ya kawaida haiwezekani huyo 'mzee' wangu hapo mbele apige magoti kwa wanae na wajukuu...sio utamaduni wetu asilani.
Katika maisha yangu sijawahi kuona kitu kama hiki katika siasa za Tanzania. Hivi hao waliopiga magoti wamefanya nini mpaka kuwapigia magoti hao waliosimama mble yao. Hakika Tanzania kuna mbadiliko mengi, mojawapo ni haya mambo ambayo tulikuwa tunasoma kwenye hadithi za Alfu Lela Ulela!!
View attachment 151528
Only God deserves this. This is blasphemyDina hata wimbo style ya kupiga magoti itakuwa ni wimbo wa kuomba msaada au kuomba fadhila na kote huko ni kujidhalilisha haswa huyo babu hapo mbele