Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,210
- 4,726
Mkuu wametoa matangazo lini. Nimekuwa nafatilia tangu mwaka 2017 sijaona uhitaji wa tutorial assistants kwenye vyuo vya kati vya UMMA.Veta Na Vyuo Vinginevyo Matangazo Wametoa Sana. Labda Ulikuwa Hujamaliza Chuo/Hukapata Bahati Nzuri Sana Ya Kuyaona
Mimi Hili Ndiyo Jukwaa Langu Pendwa Ukitazama Kila Tangazo La Kazi Lazima Ukute Comments Zangu.Mkuu wametoa matangazo lini. Nimekuwa nafatilia tangu mwaka 2017 sijaona uhitaji wa tutorial assistants kwenye vyuo vya kati vya UMMA.
Endapo basi watatoa naomba huu uwe uzi maalum wa ku share mkuu.
Matangazo yapo ila nenda kwenye vyuo hivyo kaombe ata part time job kwanza permanent itakukuitia hapoWadau ninekuwa naperuzi kwenye tovuti mbali mbali na blogs sijawahi kukutana na uhitaji wa waalim wa masomo ya HISABATI kwenye vyuo vya kati vya UMMA au hata VETA. Navyojua katika vyuo hivyo masomo ya hisabati yanafundishwa.
Natangaza pia interest ni kwamba nina Shahada ya kwanza ya HISABATI...
Kwa uzoefu wangu mimi walimu wa maths vyuoni hasa vyuo vya Engineering au vya biashara huwa wanaajiriwa wachache sana kwa ajili ya kuiongoza idara ya General studies.Nimezungumzia sana somo la hisabati maana somo hilo hufundishwa vyuo vya kati vya umma kama vyuo vya afya, cbe, vyuo vya utumishi, lgti na vyuo vya veta pia. Sijawahi kuona wakihitaji waalim wa masomo hayo.
Nimefatilia hapo cbe dodoma waalimnwa hisabat ndio wanafundisha UDOM pia. Sasa sijui ni kwamba hawajapata kibali cha kuajiri au wanajitisheleza.
Emu tupeane mbili tatu za kufika hukoo
Matangazo yapo ila nenda kwenye vyuo hivyo kaombe ata part time job kwanza permanent itakukuitia hapo
Ingia website ya utumishi kuna kazi zenu zimewekwa leo kaaplyWadau ninekuwa naperuzi kwenye tovuti mbali mbali na blogs sijawahi kukutana na uhitaji wa waalim wa masomo ya HISABATI kwenye vyuo vya kati vya UMMA au hata VETA. Navyojua katika vyuo hivyo masomo ya hisabati yanafundishwa.
Natangaza pia interest ni kwamba nina Shahada ya kwanza ya HISABATI. Nimetamani nikasome nipate shahada ya uzamili ila sasa sikutani na matangazo ya uhitaji wa hawa watu.
Nimejaribu fatilia nikapewa nyepesi kwamba UDOM na CBE wanatumia waalim wale wale kwenye kufundisha hayo masomo na wapo wachache sana. Sijajua mkuu na hizo taasis za elimu hawana mpango wa kuajiri au ni nini.
Wadau tupeane mbili tatu za kutwa
Vyuo vya kati vya afya wanafundishwa Math uliyosomea wewe?Nimezungumzia sana somo la hisabati maana somo hilo hufundishwa vyuo vya kati vya umma kama vyuo vya afya, cbe, vyuo vya utumishi, lgti na vyuo vya veta pia. Sijawahi kuona wakihitaji waalim wa masomo hayo.
Nimefatilia hapo cbe dodoma waalimnwa hisabat ndio wanafundisha UDOM pia. Sasa sijui ni kwamba hawajapata kibali cha kuajiri au wanajitisheleza.
Emu tupeane mbili tatu za kufika hukoo
Vyuo vya kati vya afya wanafundishwa Math uliyosomea wewe?
Najua Kuna calculation za tasnia zao kwa wewe ambae hujasoma afya huwezi. Kwa mfano pharmaceutical calculation kwa pharmacy.
Siyo kweli kwamba ukisoma Maths utakuwa mwalimu tu. Maths ina application sehemu mbalimbali.
Tunaangalia majority mkuu kwa mazingira ya Kitanzania ukishasoma maths,physics au chemistry ni kwamba umejiandaa uwe mwalimu.
Huwezi kusomea maths halafu uende kuomba kazi kiwandani au kwenye kilimo watakushangaa
Mshauri afanye applied Maths uone kama atalala njaa. Nimesoma na jamaa zangu wengi tu applied maths hivi sasa kila mmoja yupo maeneo mazuri tu. Wapo Assistant Lectuters na Lecturers, wapo wanaofanya mambo ya Disease modelling kwenye research centres, wapo wanaofanya kazi NBS, wengine wapo mahospitalini, wapo wengine huko nchi za watu weupe wanapiga kazi. Kama kweli anataka Maths imtoe aende akongeze shahada ya pili. Apite pale CoNAS akapige miaka yake miwili then atakuja kunishukuru baadaye.
Tunaangalia majority mkuu kwa mazingira ya Kitanzania ukishasoma maths,physics au chemistry ni kwamba umejiandaa uwe mwalimu.
Huwezi kusomea maths halafu uende kuomba kazi kiwandani au kwenye kilimo watakushangaa
Yapi mengi brother jaribu kufatilia.Wadau ninekuwa naperuzi kwenye tovuti mbali mbali na blogs sijawahi kukutana na uhitaji wa waalim wa masomo ya HISABATI kwenye vyuo vya kati vya UMMA au hata VETA. Navyojua katika vyuo hivyo masomo ya hisabati yanafundishwa.
Natangaza pia interest ni kwamba nina Shahada ya kwanza ya HISABATI. Nimetamani nikasome nipate shahada ya uzamili ila sasa sikutani na matangazo ya uhitaji wa hawa watu.
Nimejaribu fatilia nikapewa nyepesi kwamba UDOM na CBE wanatumia waalim wale wale kwenye kufundisha hayo masomo na wapo wachache sana. Sijajua mkuu na hizo taasis za elimu hawana mpango wa kuajiri au ni nini.
Wadau tupeane mbili tatu za kutwa
Mkuu unataka kuniambia hiyo NBS na research centres zina capability ya kuchukua graduates wote wa kila mwaka wa hiyo kozi?
Hakuna kozi ambayo watu wote wakihitimu wanapata kazi. Mimi nilijibu hoja yako kuwa ukisoma Maths utaishia kuwa mwalimu tu. Mtu huwezi kuwa mwalimu kama hujusomea ualimu, sana sana utakuwa unafundisha tu kimyume cha utaratibu.
Umekariri vibaya tuu wenye degres wapo kibao unadhani hawahitaji wasomi wenye viwangokufundisha veta It need uwe na Diploma. ni mara chache sana wakahitaji degree