Hahaha imebidi nicheke tuSasa huyo Dully ndo mwenye kwao hapo ccm ila kaamua tu kujiweka pembeni ukoo mzima walikua ccm tangu ikiwa TAA🤣🤣
Sasa huyo Dully ndo mwenye kwao hapo ccm ila kaamua tu kujiweka pembeni ukoo mzima walikua ccm tangu ikiwa TAA🤣🤣
Kumbe yule sykes anaetajwa sana mhenga ni ndugu na huyu brazameni, jamaa kachagua njia yake peke akee...safiii......diversificationSasa huyo Dully ndo mwenye kwao hapo ccm ila kaamua tu kujiweka pembeni ukoo mzima walikua ccm tangu ikiwa TAA🤣🤣