fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,621
- 9,163
Kila mtu na tabia zake,binadamu hatufananiBabu zetu walioa wanawake wanne na kuendelea kwa kuendekeza kufokewa na wakakaa kimya?
Sikia,kila familia ina tamaduni zake na kila binadamu wanatabia zao tofauti,familia yangu haiwezi kufanana na yakoHujakutana na vichaa wewe. Endelea kukaa kimya mkeo akikufokea alafu subiri siku uone maajabu atakayokufanyia.
Eti hasira za kizungu😂😂Mwanamke wangu anifokee? kwanza hiyo hali ningeizima alafu ndio mengine yaendelee.
Kuna siku akajishikilisha sim yangu na nilimwambia shika lakini sitak maswali, baada ya hapo maswali yakaanza nahisi alikuwa anatafuta tu sababu ya kulia. Nikatulia tuli akaanza kuongea kwa jazba ili nimjibu alipokosea n kuleta hasira za kizungu, akashika saa yangu akairusha ukutani then akaanza kulia. Nilicheka kile kicheko cha magufuli cha kumsikitikia mtu nkamwambia kwanza kaokote ulichotupa na usirudie tena kufanya huo ujinga utakugharimu. Uzuri ananijua nikishabadilika huyo akaifuata saa, moyoni nacheka kinoma 😂
Hapa kuna funzo linatolewa
Ananletea uzungu uswazi, baada ya hapo kuna hela nilimwambia ntampa siku hiyo nikampa akakataa kuipokea nikaacha mezani.Eti hasira za kizungu😂😂
Nimewaza tu,Mwanamke wangu anifokee? kwanza hiyo hali ningeizima alafu ndio mengine yaendelee.
Kuna siku akajishikilisha sim yangu na nilimwambia shika lakini sitak maswali, baada ya hapo maswali yakaanza nahisi alikuwa anatafuta tu sababu ya kulia. Nikatulia tuli akaanza kuongea kwa jazba ili nimjibu alipokosea n kuleta hasira za kizungu, akashika saa yangu akairusha ukutani then akaanza kulia. Nilicheka kile kicheko cha magufuli cha kumsikitikia mtu nkamwambia kwanza kaokote ulichotupa na usirudie tena kufanya huo ujinga utakugharimu. Uzuri ananijua nikishabadilika huyo akaifuata saa, moyoni nacheka kinoma 😂
ungemfua bila sabuniNimewaza tu,
Mtoto wa mtu arushe Tissot gentleman yangu ukutani!, aiseeh