Halow wandugu,
Ilikuwa Jumapili usiku aliposhikwa na uchungu mida ya saa nane. Niliona ni jinsi gani uchungu unavyowauma wanawake, nikampeleka hospitali fulani ya masista mbezi alikaa mpaka Jumatatu usiku saa 8 ikashindikana kujifungua ndipo nikampeleka mwananyamala huku nashuhudia anavyohangaika. Hatimaye amejifungua leo saa 12 asubuhi kwa operation.
Japokuwa nimevunjika moyo lakini namshukuru Mungu muweza yote.