Sijawahi kufanya mapenzi, je kuna madhara nitayapata?

Sijawahi kufanya mapenzi, je kuna madhara nitayapata?

Naskia unapofanya sana unapunguza umri wa kuishi....so utaishi miaka mingi mkuu
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa


Kumbuka, Mungu alikupa kikoleo kwa ajili ya kukifanyia kazi, hizi ni zama za HAPA KAZI TU, wewe kwa nini hutaki kufanya kazi? Yaani miaka 32 hupo duniani hufanyi kazi, wewe kweli ulikuwa Kikwetefied (kucheka hovyo hovyo na kutojuwa wajibu wako, kujipa likizo isiyo na faida kwa taifa/kwako).
 
historia inasema binadamu alikua na mkia ila kwakuwa hakuwa akiutumia, basi mkia ukapotea mdo mdo.
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa

Icho nacho kipaji khaaaa

By then hakuna madhara ndoa.yako itakuwa imara saana suala la kupungukiwa nguvu ktk ndoa yako itakuwa historia ns kuziskia kwa marafiki zako
 
Mkuu hongera.kwa kuitunza bikra yako hadi sasa.endelea kuitunza mpaka pale utakapo oa kihalali.
Madhara hakuna kwa sasa ila umri usizidi 35 kwani hapo unaweza kupata madhara.mfano .ukiwa hujafanya haya mambo udogoni lazima utakuja kuwa na hamu sana za waanawake na hapo ndio.unaweza ukawa kama kichaa kwa ngono.
Elewa usipofanya ngono udogoni basi lazima lazima lazima utafanya ukubwani tena nje ya ndoa yako kwani utaona ni ajabu kila mwanamke utamtamani kwa ajili ya kugegeda .
Njia ya kuepukana na hayo ni.kuoa mke zaidi ya wawili kwa pamoja ili usije ukaingia ktk hii balaa la ngono.ukubwani.asante

Duh! Umenikumbusha jamaa mmoja sikujua historia yake ila anaweza akawa aliaza mechi ukubwani asije mtoto wa kike nyumbani kwake anayetoka upande wa mwanamke yeye ni kukanyaga tu kwa beki tatu ndo usiseme alichanganyikiwa total
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa

Dah! aiseee!!! haya maajabu ya musa. Hebu tafuta hata ka mbwa uanze kufanyia mazoezi lah sivyo! jiandae kuaibika milele. myb yawezekana unaliwa 0715
 
Hongera sana kwa kujitunza, kama hupigi masterbation hakuna madhara yoyote. yafuatayo lazima yaendelee kukuandama kama huna tatizo lolote kwenye viungo vyako vya uzazi (i) alfajili ukishikikwa na mkojo uume wako lazima usimame, (ii) kila unaposhikwa na mkojo, ukikojoa mkojo utarushwa umbali mrefu zaidi kudhihirisha kuwa kitu kiko ngangali (iii) baadhi ya siku ukilala sharti upate ndoto itakayoruhusu shahawa za ziada kutoka ukiwa usingizini (iv) hisia kali zitazidi kukuandama na kufanya uume usimame hata ukiwa kwenye public areas (v) uume hata kama haujasimama, mishipa yake inakuwa imara wala si ile ya kulegea kaa utumbo wa kuku. Kama haya yote niliyokutajia yanakuandama ujue wewe ni rijali na endelea kuutunza mpaka hapo Mungu atakapokupatia kipenzi cha moyo wako.

Tishio kwamba utageuka malaya kisa hukufanya mapenzi utotoni ni uongo mkubwa kwa sababu masuala haya yanaendana ha tabia ya mtu na namna alivyojifunza kuhusu wanawake, mahusiano na tendo la ngono lenyewe. wapo walioanza utototo na ukubwani wamezidisha utadhani break zimeachia
 
duh! Umenikumbusha jamaa mmoja sikujua historia yake ila anaweza akawa aliaza mechi ukubwani asije mtoto wa kike nyumbani kwake anayetoka upande wa mwanamke yeye ni kukanyaga tu kwa beki tatu ndo usiseme alichanganyikiwa total
ahahaha lazima huyo atakuwa alianza kugegeda ukubwani rofejo
 
Last edited by a moderator:
PIa mkuu kuna madhara mengi sana zaidi ya hayo nilitaja juu.
Jengine ni kukumbwa na Jini mahaba la kike
 
Mungu wanguuuuu!! Kwa kifupi haujafikia foolish age? Kwa uvumilivu huo , Vumilia tena 30 years ukamilishe ziara uku dunuani. Utaitwa shujaa na unaweza kuupata utakatifu. Usijaribu maana hautaona raha ...usije kuona bora kufanywa kuliko kufanya ivo ikawa sio riziki. Usijaribu ....wakija wasalimie shkamoo then waelekeze kwa gsana
 
Huko kujichua sijawah coz ninamwogopa Mungu ndio maana nimeamua kutofanya hivyo mpaka nioe,na ninaamin atanipa mke mwema ambaye hajawai kufanya hayo mambo,kwa sababu kwenye bible Mungu amesema ukiniheshim nami ntakuheshimu

shikilia msimamo wako huo huo. wewe shikilia kile ambacho Mungu anakuambia ufanye na usikiache kwa sababu ya maneno ya watu wachache ambao kiukweli hawapo tayari kumsikiliza Mungu katika suala hili
 
hahahaa

padri john,padri john,padri john!
nilikuwa nakuamini jembe langu kumbe ni hovyo hivi?

tangu lini mchungaji akaoa,miaka yote unatumikia kanisa leo ndiyo unafanya hivi

32 years khaaaa!
 
Hahaha jf bhanaa, me umenipita miaka kumi lkn nishatumia yangu si mara moja wala mbili kwahyo kukushaur nitakuwa nakudanganya..
 
Back
Top Bottom