benwise
Senior Member
- Oct 24, 2015
- 114
- 105
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa