Sijawahi kufanya mapenzi, je kuna madhara nitayapata?

Sijawahi kufanya mapenzi, je kuna madhara nitayapata?

Kua makini sana, wataalam wamambo ya jinsia wanasema, ukifika miaka 33 bila kufanya hivyo jinsia yako inaweza badilika, kama ni mwanaume basi unakua mwanamke na kama ni mwanamke basi unakua mwanaume, au kiungo chako kinapotea kabisa na kubakia shimo tu....sasa chagua kama bado unataka kua bikra.
acha uongo bwana!
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa

Hujawahi hata kujitia kidole mku.nduni?
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa[/QUOTE]

ngoja nikurudishe darasani kidogo. kuna mwanasayansi mmoja alikuwa anaitwa lameck aliwahi kusema katika moja ya theory zake LAMECKISM THEORY kuwa, In every animal which has not passed the limit of its development, a more frequent and continuous use of any organ gradually strengthens, develops and enlarges that organ, and gives it a power proportional to the length of time it has been so used; while the permanent disuse of any organ imperceptibly weakens and deteriorates it, and progressively diminishes its functional capacity, until it finally disappears.
hapo nadhani umenipata,,,sasa inabidi ufanye hata kidogo mishe iwe imara zaidi
 
Back
Top Bottom