Sijawahi kufanya mapenzi, je kuna madhara nitayapata?

Sijawahi kufanya mapenzi, je kuna madhara nitayapata?

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa

A'seeeee............
 
Wewe ni domo zege, alafu ushahathirika kisaikolojia na kiseksi! Miaka 32? Tena mwanaume? Kama unasema kweli, aisee, siku ukipata kei jogoo hawiki.
Je una hisia? Labda wewe ni ROBOT ila haujajua!
 
Kifanyio gani ulichomaanisha?Au unamaanisha condom

Hivi ni kweli wewe una miaka 32? Mbona decoder yako iko sloo sana? Hujaelewa nini hapo? Naanza kuelewa sasa kwa nini una 32 na haujawahi onja utamu wa pusssy.
 
Wewe si ndo hujawahi sex??utuambie madhara gani mpaka sasa unahisi umepata,humu wengi wamesha wahi kugegedana...hutapata majibu ya kueleweka???

ila nahisi wewe ni mteja wa sabuni na losheni.
Comment nzuri sana hii, ngoja tusubiri jibu!
 
Wewe si ndo hujawahi sex??utuambie madhara gani mpaka sasa unahisi umepata,humu wengi wamesha wahi kugegedana...hutapata majibu ya kueleweka???

ila nahisi wewe ni mteja wa sabuni na losheni.
Huko kujichua sijawah coz ninamwogopa Mungu ndio maana nimeamua kutofanya hivyo mpaka nioe,na ninaamin atanipa mke mwema ambaye hajawai kufanya hayo mambo,kwa sababu kwenye bible Mungu amesema ukiniheshim nami ntakuheshimu
 
kweli mkuu mpaka sasa sijaona madhara yoyote ni amani tu

Ndio hivo mkuu, acha kuwauliza wazinzi eti wakusaidie ufanye au usifanye, unategemea nini, obviously watakwambia fanya. Mtu atakayekujibu kwa usahihi ni yule alifikisha umri kama wako bila kufanya. Mm nimeoa but one of my greatest regrets ni kuingia katika ngono nje ya ndoa! Nawewe usiwe kama mimi ninayejuta sasa ili uje uwe na ushuhuda kwa wanao na vijana wengine kwamba jambo hilo la kuabstain mpaka ndoa linawezekana! Utasema hivyo kwa confidence kwakuwa ni jambo ambalo umefanya wewe mwenyewe na kufanikiwa. Nampenda MUNGU mno ndio maana nakuunga mkono kutofanya zinaa. Mshirikishe MUNGU. Kumbuka, wanadamu wenzio walio wengi hawakuvumilia hivyo sio rahisi kukusapoti coz wanataka ufanane nao ili wawe na ushahidi kuwa haiwezekani. Please prove that they r wrong and the Almighty GOD will reward you positively
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa

Siku zako unapata kweli ww
 
Huko kujichua sijawah coz ninamwogopa Mungu ndio maana nimeamua kutofanya hivyo mpaka nioe,na ninaamin atanipa mke mwema ambaye hajawai kufanya hayo mambo,kwa sababu kwenye bible Mungu amesema ukiniheshim nami ntakuheshimu
Wee jamaa mjanja sana, ila wanawake wa dijitali wajanja zaidi, sijui kama utawakamata!
 
Big up sana chief... Mungu azidi kukutia nguvu.... There's no any side effects to that from what I know
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka32 lakini sijawahi kusex na sitegemei kufanya hivyo mpaka nitakapooa,je nitapata madhara yoyote maana nasikia washkaji mtaan wanasema eti kuna madhara,naamini humu nitapata majibu mazuri zaidi ukizingatia kuwa sina hata mpenzi kwa sasa

Hakuna madhara mkuu,Ila hujasema sababu ya wewe kuwa hivyo, je
-Una mpango wa kuwa padri?

-Uliamua tu kujitunza ili kutimiza amri ya mwenyezi Mungu?

-Una tatizo la kiafya au Organs?

Ila all in All endelea kujitunza mpaka siku ya ndoa yako,usidanganywe na vishawishi vya wanadamu,Mtii Mungu wako na Mungu atakubariki sana. Kumbk Ukijiheshimu Mungu atakuheshimu pia.
 
Mkuu hongera.kwa kuitunza bikra yako hadi sasa.endelea kuitunza mpaka pale utakapo oa kihalali.
Madhara hakuna kwa sasa ila umri usizidi 35 kwani hapo unaweza kupata madhara.mfano .ukiwa hujafanya haya mambo udogoni lazima utakuja kuwa na hamu sana za waanawake na hapo ndio.unaweza ukawa kama kichaa kwa ngono.
Elewa usipofanya ngono udogoni basi lazima lazima lazima utafanya ukubwani tena nje ya ndoa yako kwani utaona ni ajabu kila mwanamke utamtamani kwa ajili ya kugegeda .
Njia ya kuepukana na hayo ni.kuoa mke zaidi ya wawili kwa pamoja ili usije ukaingia ktk hii balaa la ngono.ukubwani.asante
 
Back
Top Bottom