Sijawahi kuamini kwa Tanzania tumefikia level ya majambazi wa kukodi, hawa huwa ni ndugu au watu wa karibu sana

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,455
Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa

Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
 
IMG-mhzeslvf.jpg
 
Back
Top Bottom