truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 337
Habari zenu wakuu. Mpaka wiki hii nilikuwa sijawahi tumia Microsoft windows 8 operating system.
Nimeiweka kwenye laptop yangu kwa muda wa wiki moja, ila nimeitoa na kurudi Windows 7 altimate. Hii kitu interface yake kimtazamo wangu sidhani kama imedizainiwa kwa ajili ya laptops, au pc. Nadhani inawafit sana watu wenye tablets. Imekaa ki touch touch hivi, alafu vitu vidogo vya msingi kwenye desktop mpaka uzunguke kidogo.
Mfano mi nimezoea ile start button ukibonyeza tu, programs zinaonekana. Inakuwa kwangu ni rahisi kwenda baadhi ya maeneo kama control panel na kwingineko. Kwa mimi accessibility ya baadhi ya vitu kwenye windows 8 mpaka nifike huko, nakuwa nimepoteza sekunde kadhaa. Pia nafikiri hata nikija ijua vizuri sitaipenda kivile. Labda ni mazoea yangu na windows 7.
Hivyo nimeamua kurudi windows 7 ambayo nafikiri ndo super standard ya windows. Labda nijipe muda, naweza kuja ipenda windows 8 baadae, ila kwa sasa sijaipenda hata kidogo. Wenzangu, kama kuna aliyeipenda basi atujuze na nini hasa kimekufanya uipende windows 8 ktk laptop au pc yako, labda nitashawishika tena kuiweka na pia kama kuna wenzangu na mimi ambao hawajaipenda na wana sababu zao basi tujuzeni. Asanteni.