Sijavutiwa na Microsoft windows 8 kwenye matumizi yake

Sijavutiwa na Microsoft windows 8 kwenye matumizi yake

Window xp ndio nzuri sana, rahisi kuitumia, sema tu microsoft ndio wameshaipiga chini.
hata hiyo windows 7 wanasema kufikia july mwakani watakuwa wameipiga chini so ni bora kuzoea kutumia windows 8.1
pia wanaleta office 365 ambayo itakuwa ni subscriptional unalipia either kwa mwezi au mwaka na storage yake wanakupa 1 tera
 
kaka kwa support microsoft hawana mpinzani. xp imetoka 2001 ila support imeisha 2014 ina maana miaka 12-13 wameipa support. win 7 ni ya 2009 ndio kwanzaa ina miaka 5 usitegemee support kuisha karibuni.

pia kuna rumors windows 9 itakuwa free kwa watumiaji wa win 7 na 8 huenda nayo ikaja kuiua win 7
 
Ni muda tu inahitaji, ili uizoee vizuri, iko poa tafuta 8.1 hayo malalamiko yako yamerekebishwa kiaina.

Nakubaliana na h120.
Win 8.1 iko poa sana. Imekuwa improved kwa kiasi kikubwa tu.
Nadhani unahitaji mda kidogo wa kuitumia win 8 ili uielewe na utakapoizoea am sure hutarudi tena win 7.
I find 8 more friendly kuliko 7.
Crack zimejaa kibao kama unataka download 8.1 Professional utapata kibao.
Mi kwa sasa natumia 8 ila nataka ni upgrade to 8.1 ambayo iko poa sana kimatumizi.
Welcome to the windows world
 
Last edited by a moderator:
Ukiizoea mbona utaifurahia tu, natumia 8.1 iko safi kabisa. Kuhusu muonekano wake hayo ndo mambo ya kusonga mbele mkuu, kwanini tubaki na 7 wakati unaweza kupata 8 ambayo iko more secure hasa kwa kushambuliwa na virus ukilinganisha na older version?
 
Habari zenu wakuu. Mpaka wiki hii nilikuwa sijawahi tumia Microsoft windows 8 operating system.

Nimeiweka kwenye laptop yangu kwa muda wa wiki moja, ila nimeitoa na kurudi Windows 7 altimate. Hii kitu interface yake kimtazamo wangu sidhani kama imedizainiwa kwa ajili ya laptops, au pc. Nadhani inawafit sana watu wenye tablets. Imekaa ki touch touch hivi, alafu vitu vidogo vya msingi kwenye desktop mpaka uzunguke kidogo.

Mfano mi nimezoea ile start button ukibonyeza tu, programs zinaonekana. Inakuwa kwangu ni rahisi kwenda baadhi ya maeneo kama control panel na kwingineko. Kwa mimi accessibility ya baadhi ya vitu kwenye windows 8 mpaka nifike huko, nakuwa nimepoteza sekunde kadhaa. Pia nafikiri hata nikija ijua vizuri sitaipenda kivile. Labda ni mazoea yangu na windows 7.

Hivyo nimeamua kurudi windows 7 ambayo nafikiri ndo super standard ya windows. Labda nijipe muda, naweza kuja ipenda windows 8 baadae, ila kwa sasa sijaipenda hata kidogo. Wenzangu, kama kuna aliyeipenda basi atujuze na nini hasa kimekufanya uipende windows 8 ktk laptop au pc yako, labda nitashawishika tena kuiweka na pia kama kuna wenzangu na mimi ambao hawajaipenda na wana sababu zao basi tujuzeni. Asanteni.
Inategemea hiyo pc yako ina specifics gani.. Kama ulilazimisha ukiweka kwene machne yene low specifics lazima uichukie iyo win 8. Kwa mtazamo wangu iko poa sana.. Speed ya kufungua mafile na kuyahamisha iko poa pia.. Interface yake iko vzr sana.. Namna unavoweza kutoka app moja kwenda nyingne.. Ungeitumia kwa muda ungeelewa ninalosema na uka kubaliana na mm
 
Mmenishawishi hiyo Win 8.1. Naona sikuipa muda wa kutosha labda.
 
kwenye suala la start screen kuna solution za namna mbili,

windows-8-boot-to-desktop-100044314-orig.jpg
Mkuu asante kwa Pokki na nimependa interface yake!
Kwenye taskbar and navigation properties dialog box inanionesha only Taskbar, Jump lists and Toolbars, any advice?
 
Mkuu asante kwa Pokki na nimependa interface yake!
Kwenye taskbar and navigation properties dialog box inanionesha only Taskbar, Jump lists and Toolbars, any advice?

umesha update kwenda 8.1 au bado upo 8? kama bado inabidi ufanye updates kwanza
 
umesha update kwenda 8.1 au bado upo 8? kama bado inabidi ufanye updates kwanza
mi nilichofanya nime-dowloading only pokki successfully and it works better.
how does someone upadate from 8 to 8.1? to be frankly im not an IT guy!
 
mi nilichofanya nime-dowloading only pokki successfully and it works better.
how does someone upadate from 8 to 8.1? to be frankly im not an IT guy!

inategemea na copy yako ya windows 8 umeipata wapi.

1.kama windows 8 yako ni halali yaani imekuja na computer au ulinunua cd basi ukienda store automatic utaletewa notification ya ku update kwenda win 8.1 pia unaweza download separate halafu ukainstall then ukatumia key zako kuiactivate.

2.kama windows si halali hapa itabidi ukadownload torrent windows 8.1 pamoja na kms activator
 
You guyz are good, if i'm to add some knowledge i will be sure to add this field.
 
umesha update kwenda 8.1 au bado upo 8? kama bado inabidi ufanye updates kwanza

8 yangu niliicrack kwa KMS activator, nauliza kama nikii'update kwenda 8.1 haita dai windows not genuine? coz kwa muda wote nime'turn off automatic update kuhofia hicho kitu..
 
8 yangu niliicrack kwa KMS activator, nauliza kama nikii'update kwenda 8.1 haita dai windows not genuine? coz kwa muda wote nime'turn off automatic update kuhofia hicho kitu..

zipo kms activator za windows 8.1 na unaweza ku update windows yako kama kawaida except app store ndo mgogoro kidogo
 
Kwa kweli m ni mtumiaji mzuri saaaana wa windows 8.1 ipo safi saana. Nikiwa na maana kuwa kuna improvements nyingi compared to windows 7. Na tatizo kubwa haswa ambalo wengi wamekuwa wakilalamika ni hiyo start menu (charm) ila vitu vingine ni kma windows 7 ila kuna features zimeongezwa kama: file transfer speed ipo juu saana hivi sasa usb 3.0 toka 2.0 maswala ya drivers wameimprove saana pia automatic repair na kupata failure ya kupata driver aftr first instlltn kweny pc yako mara chache saana.Maswala ya projection kwenda screen ya nje au projector kuna new feature hapo pia imeongezwa. Mda unatumia kuinstall windows 8 au 8.1 ni mdgo saaana compared na wakuinstall 7. Kwa upande wangu kweny laptop yenye Ram 4 GB processor 2 GHZ inatumia ten min kuwa install na windows 8 au 8.1. Feature ya kusign in kwa microsoft account. Hii ni babkubwa saaana koz once ikiwa konnected kweny internet nzuri huwa inafanya backup ya settingz zako zote including wallpaper,files etc. So ukienda kweny pc mpya ukainstal windows 8 au 8.1 ukisigh in una uwakika mkubwa pc kurudi au kuwa kma yako. Swala la window errors pia wame improv zile error za mara kwa mara kama kweny xp. Swala la interface lipo imprvd pia kweny start menu wamepamba saaana na themes za rangi. Kuna live tiles zikipata internet zinaji update unapata habari za michezo etc. Kwa ss hizo chache ndio nazi kumbuka na zinaonekana kirahisi. Ila kuna mabadiliko makubwa sana kweny windows na zote ni improvements ili kumrahisi shia mtumiaji. Hayo ni maoni na mwonekano wangu kama kuna mtu ana views tofauti ana weza ongezea tu. Au kufanya edit. Asanteni

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
zipo kms activator za windows 8.1 na unaweza ku update windows yako kama kawaida except app store ndo mgogoro kidogo

naomba msaada unipatie link ya torrent niidownload hiyo 8.1 pamoja na activator yake. Honestly nimedownload 8.1 zaidi ya mara tano nikiinstall inanigomea ku'activate hizo kms activator za 8.1 ninazo kama 20 hivi zote zinagoma nikaamua kurudi 8
 
Habari zenu wakuu. Mpaka wiki hii nilikuwa sijawahi tumia Microsoft windows 8 operating system.

Nimeiweka kwenye laptop yangu kwa muda wa wiki moja, ila nimeitoa na kurudi Windows 7 altimate. Hii kitu interface yake kimtazamo wangu sidhani kama imedizainiwa kwa ajili ya laptops, au pc. Nadhani inawafit sana watu wenye tablets. Imekaa ki touch touch hivi, alafu vitu vidogo vya msingi kwenye desktop mpaka uzunguke kidogo.

Mfano mi nimezoea ile start button ukibonyeza tu, programs zinaonekana. Inakuwa kwangu ni rahisi kwenda baadhi ya maeneo kama control panel na kwingineko. Kwa mimi accessibility ya baadhi ya vitu kwenye windows 8 mpaka nifike huko, nakuwa nimepoteza sekunde kadhaa. Pia nafikiri hata nikija ijua vizuri sitaipenda kivile. Labda ni mazoea yangu na windows 7.

Hivyo nimeamua kurudi windows 7 ambayo nafikiri ndo super standard ya windows. Labda nijipe muda, naweza kuja ipenda windows 8 baadae, ila kwa sasa sijaipenda hata kidogo. Wenzangu, kama kuna aliyeipenda basi atujuze na nini hasa kimekufanya uipende windows 8 ktk laptop au pc yako, labda nitashawishika tena kuiweka na pia kama kuna wenzangu na mimi ambao hawajaipenda na wana sababu zao basi tujuzeni. Asanteni.

Mi inaniliza kila siku hadi my laptop naichukia nw..aliyeniwekea anna'gang'ania nsiitoe ya kisasa.. but inanichelewesha mareport yangu hata excel sasa ni kama najifunza yaani i hate it..nashindwa sometimes kufanya maatachements
 
Back
Top Bottom