Sijasikitika, nimefurahi sana

Huyo dada mbulula tu....unyama huo bado unarudi, kama ni dini kweni hakujua kama kuna utofauti wa dini toka mwanzo....some shit we create and when they back fire tunapiga kelele

Maana jamaa aliwachezea akili wadada wote wawili kwa tamaa zake.
 
Word.....
 
kosa la huyu dada mpaka kuitwa mvamizi ni nini?..ye nae alishawishiwa kuolewa kama wanawake wengine tunavyoshawishiwa...mwenye shida hapa ni mwanaume..sio mdada mwenye mimba na mtoto wala huyu adada aliyekuja baadae

umeona eeeh huyo mwanaume hana msimamo
 
Mdinidini ushaanzaa.. kisa umesikia gaidi kapigwa chini kaolewa mtumishi... Nyamayandafu wewe.. kafieee mbele na dua zako za ngedere kugeuka nyaniii... Mazakanywafanta weeee!!!!!!!!!!!!
Watu wengine sijui mnaumwa uchizi? Hivi hapo aliyeleta udini nani kama sio wewe.? Hizi dini tumeletewa tu zisikufanye uwe mtumwa kifikra. Nyambaf.......alichazungumzia jamaa ni COERCED MARRIAGE sio dini. Una shida sana wewe na hiyo imani yako. Me.nde wewe mdudu wa choo kichafu na giza usiependa vitu vizuri.
 
Mazakanywafanta weeeeeeee...........
 
Mazakanywafanta weeeeeeee...........[/QUOT
kukosa busara na hekima huku. Pole sana, kila kitu mnaingiza udini tu. Badiliki kifikra dini haitakusaidia chochote hapa dunia. fu**k you she. inzi type
 
Dada punguza kwanza hasira,maana unaongea huku una hasira sana,binafsi sijaelewa hasira yako ipo kwenye nini haswa au kwa nani haswa kati ya hao watatu japokuwa mwishoni umezungumza mambo mawili tofauti..
 
pole dada kumbe n wewe nlpata stor yako hii nashukuru umeileta jf.pole sana yule mshkaj alhkuwa ananiambia amekuchoka aktafuta sababu 2.et chuchu zmelala pole dada
 
pole dada kumbe n wewe nlpata stor yako hii nashukuru umeileta jf.pole sana yule mshkaj alhkuwa ananiambia amekuchoka aktafuta sababu 2.et chuchu zmelala pole dada

Take a chill pill bae
 
Dada punguza kwanza hasira,maana unaongea huku una hasira sana,binafsi sijaelewa hasira yako ipo kwenye nini haswa au kwa nani haswa kati ya hao watatu japokuwa mwishoni umezungumza mambo mawili tofauti..

Mwanaume,alimkosea sana binti aliyekuwa akiishi nae,

Na mwanamke aliyeingilia mahusiano yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…