Sijasikitika, nimefurahi sana

Mdinidini ushaanzaa.. kisa umesikia gaidi kapigwa chini kaolewa mtumishi... Nyamayandafu wewe.. kafieee mbele na dua zako za ngedere kugeuka nyaniii... Mazakanywafanta weeee!!!!!!!!!!!!

Sa hapo kaolewa au kahalalisha zinaaa...
 
Sasa miaka yote saba wanaishi hawakuwa kuzungumzia suala la tofauti za kidini hadi wanafika hatua ya kukataana baada ya kuwa wameshakuwa wazazi?? Japo ndoa imefungwa lakini imebebwa na wazazi



Nnanachokiamini mimi ni kuwa mkaka alikuwa ashampata mwanamke mwingine hivyo suala la dini lilikuwa ni mwamvuli tu ili asionekane amemuacha bila sababu
 
Mdinidini ushaanzaa.. kisa umesikia gaidi kapigwa chini kaolewa mtumishi... Nyamayandafu wewe.. kafieee mbele na dua zako za ngedere kugeuka nyaniii... Mazakanywafanta weeee!!!!!!!!!!!!

Povu la nini kuna sehemu nimezungumzia dini hapa?

Na unajua mie n dini gani?
Ovyooo!!
 

Nakumbuka hadithi ya Adam na Hawa walipokula lile tunda lililokatazwa. Mungu anamuuliza Adam:"Je, umekula matunda ya mti ambao nilikataza matunda yake usile?" Adamu anajibu: Mwanamke uliyenipa awe pamoja nami, alinipa tunda toka mti ule, nami nikala! Hii tabia ya wanaume kuhamisha makosa yao kwenda kwa imerithiwa toka kwa babu mkuu Adam. Siku matatizo yakitokea ndani ya ndoa, mwanaume hatakuwa na uwezo wa kutatua kama kichwa cha familia, hata yawe madogo kiasi gani! Na akiulizwa kwanini hali inakuwa mbaya katika ndoa yake, atatoa majibu yaleyale yanayofanana na ya Adam kwenye bustani ya Edeni; "Mwanamke mliyenilazimisha kumuoa ndiye chanzo cha matatizo haya ".
 
everything was perfect in this universe until religion showed up.
 
haya chacha!!
alafu unakuta mtu anaingia kwa mbwembweeee nyingi na dharau as if huyo mwanaume kamuumba yeye na anajua fika mwenzie kaumizwa!
malipo ni hapahapa duniani Mungu wa sasa ni kijana yupo kazini.

acha kutishia watu weye
 
Wewe ndo umetafsiri hivyo,ila me wala huko siko,pole mpenzi na wakati mwingine ntaandika kiswahili bila tatizo japo kuna wakati naweza zungumza kiswahili na nikachanganya na Kimanyema
Sawa mpendwa jitahidi uandike lugha moja hasa kwa kiswahili ili nasi tukuelewe.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…