Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,202
- 4,688
Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa
Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo kufanya kuwa kivutio kikubwa kinachotambulika dunia nzima niliona ni jambo jema
Leo mida ya asubuhi naingia mtandao nakutana na uzinduzi wa jezi hizo msimu mpya kutoka kwenye mlima kilimanjaro uzinduzi wa jezi hii ni tukio moja kubwa sana ambalo watanzania walikuwa wanalisubiri kwa hamu kubwa lakini jambo la kushangaza tunasubiri jezi za timu zinakuja kutambulisha majina ya viongozi jambo ambalo limenikera naamini na watu wengine watakuwa wamekereka na jambo hili
Kulikuwa na haja gani kutambulisha majina ya viongozi nazani pengine ingependeza hata mngetambulisha hata majina ya wachezaji wakongwe waliwahi kuwa
msaada wa timu ya simba
Je club ya simba wametumika ?