Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 31,982
- 64,010
Nitajibu hapo kwenye viongozi wa kisiasa kuwatumia viongozi wa dini kuhamasisha watu kupiga kura.
Katika nchi kuna taasisi. Taasisi ya kwanza ni Familia, zinakuja zingine mfano dini na serikali. Hizi zote zinatumika katika kushape raia.
Mfano tunataraji taasisi ya familia ilee watoto vizuri waje kuwa wachapakazi na wasiwe na tabia hatarishi. Taasisi hii ikifeli taasisi inayofuata itagewa jukumu hilo ndiyo katika dini utakuta Bakwata au mapadri wanatoa tamko juu ya ishu hot kipindi hicho, taasisi hii pia ikifeli na huyu mtu akazidi kupotea basi taasisi serikali itaingilia kati ili kumfunza huyu mtu.
Kwahiyo kiongozi wa dini kuaddress ishu zozote nchini siyo swala la kuchanganya dini na siasa au kuifanya nchi kua ya kidini. Hii ni Civics ya form two.