Sijaona kitu kibaya duniani kama tiGO

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Li mtandao gani kila siku matatizo tu! Kha! Yani nimemtumia mtu hela kwa tigo pesa toka saa 9 jioni jibu hakuna ila nilomtumia kasema zimemfikia dabo dabo! Ila salio langu halikubali kusomeka! Ndi nini?
 
...kwenye net huku kijijini kwangu inashika dakika tano, dakika 55 hakuna kitu. Inakera sana.
 
Li mtandao gani kila siku matatizo tu! Kha! Yani nimemtumia mtu hela kwa tigo pesa toka saa 9 jioni jibu hakuna ila nilomtumia kasema zimemfikia dabo dabo! Ila salio langu halikubali kusomeka! Ndi nini?
Pole sn.
Umekujaje? Sijakuona siku mingi mkuu
 
kumbe tgo mtandao,nilivosoma heading nkadhani ile tgo nyngne
 
tigo eeh..!mm mwenyewe nashangaa inapendwa kweli...tena siku zinavyokwenda mbele watumiaji hawapungui...wanaongezeka tu!..
 
Back
Top Bottom