Sijamwona Freeman Mbowe hapa ibadani

Sijamwona Freeman Mbowe hapa ibadani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,521
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama
 
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!

Ibadani ni nchi gani au mahali gani hapo??
 
Mbona Kikwete, Mwinyi na Shein hawapo mkuu? Au hawapendi kusikia "Tumsifu Yesu Kristu"
Wale wanaruhusiwa kuja baada ya ibada...... Lakini Freeman na mama Anna wanaabudu Kanisa moja kule kwa Dr Shoo!
 
Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni.

Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Unamuota Mbowe tu shauri yako.
 
Back
Top Bottom