Sijamwelewa Mh. Ndugai leo

Possibly aliwasiliana na Lissu kumweleza kuwa muda umekwisha na ndo maana hata Lissu alikuwa mpole, la sivyo kwa jinsi Lissu alivyo angesimama ama angewasha mic bila hata ruhusa. Wote wameongozwa na busara kama mdau mmoja alivyochangia hapo juu.
 
Si bure wewe ni JOYCE MUKYA , starehe ya DJ

unaona wivu eeh! Njoo na wewe bado ana nafasi moja iliyo wazi.
Ama kweli unazidi kuuthibishia ulimwengu kuwa unaumwa ugonjwa wa akili na unahitaji msaada wa matibabu. Vipi lumumba hampelekani Apolo? Au book 7 ndo mwisho wa shida? Zaidi ya hapo utajijua si ndio? Jadili hoja acha mambo ya kish§%oga kukalia umbea tu ya nani katoka na yupi ka jamaa yako mwigulu. Nyiye magamba ni simple minded category ndo hujadili people's affair badala ya hoja! Pole yenu!?
 
Utakuwa josephine unapandwa na kibabu
 
Back
Top Bottom