Sijamwamini SLAA..

Akikosolewa wa kwenu nyie huwa mnaimba na kushangilia? Tunatetea tunachokiamini
Swadakta lakini baada ya kumkosoa katika vikao na kumuwajibisha kama dawa harambeeee lazima iimbwe.

 

na hutakaa ukamwamini mpaka unaingia kaburini.kwa sababu umechaguwa kutokumwamini nayo ni demokrasia.
 

Acha unafiki wewe toka lin umekuwa mwanachadema?
 
Last edited by a moderator:
wewe gamba mpunga pepo, toka lini umekuwa na uchungu na CHADEMA kama sio unafiki na uzandiki tu?! Nitajie matumizi ya ruzuku yenu kama hutambwera hapa.
Nenda kwa Utoh utaikuta,Chadema tumegundua wanajifanya kuwa na mikutano isiyoisha nje ya ofisi ili kukimbia ukaguzi wa fedha za ruzuku na chaguzi za ndani.
 

Wewe ndio mkwapua simu kariakoo, weka CV yako tuone kama sio na w kichwa maji tu.
 
Nenda kwa Utoh utaikuta,Chadema tumegundua wanajifanya kuwa na mikutano isiyoisha nje ya ofisi ili kukimbia ukaguzi wa fedha za ruzuku na chaguzi za ndani.

Wewe acha mawazo yako ya bangi, chuki zako kwa Dr.Slaa na CHADEMA zitakufikisha no where.
 
hivi mbowe aliwahi kugombea na nani katika nafasi ya mwenyekiti wa chama?nasikia kila kipindi anafanya zengwe ili abaki peke yake.hata uchaguzi ujao kisha watuma mamluki wake waanze propagande kwenye jf eti bado anahitajiwa na chama,watu wanajua kila kinachoendelea,tunataka watu wasomi na wenye uwezo wachukue nafasi ya mbowe yeye akae pembeni abaki kama mshauri maana hata elimu hana, yani kasoma kwa kuungaunga sana ndio mana ukiitafuta cv yake haipo, kifupi nhatambuliki ,slaa aende akatubu kwanza kanisani na amwombe radhi rose kamili kwa usaliti wa ndoa yake.
 
Padri mwenye watoto.Utamwamini kweli!huyu kiumbe,hafai hata kuishi

wewee ndio hufaii kuishii kwanii hujui hata umuhimuuu wa nchii yakooo umeamuaa kubwabwanyaa tuuuu kama kinyesiiii mtuuu kamaaa weee kwa wenzetuuu wapendaa hakiii ukifaaaa maitii huwa tunazitupaa bahariniii ili iwee chakulaaa chaasamakiiii
 

kama vujiruzuku kidogo tu,vinatafunwa tukimkadhi nchi hao tembo unaowazungumzia watapona?
 
kama kakopa na anarudisha na riba.....na kama anakatwa kila mwisho wa mwezi tatizo liko wapi????
 
Hivi moja ya matumizi ya ruzuku za vyama siasa ni kujikopesha kwa matumizi binafsi?

CC Tendwa,Utoh

nyie wagonjwa kweli, yani kukopa mnaifanya ishu ya kudiscuss?

Jiangalieni sana, umma una hasira sana na watu wa aina yenu
 
suala hapa kachukua au kajikopesha kinyemela pesa za walipakodi milioni 140.kwa matumizi binafsi halafu anageuka na kusema,'nimechukua million 20 tu.

Umesikia wapi akiyasema haya? au ni ukumbavu wako tu? shit!!!
 
wana jf uganda walifanya makosa kwa kumuweka dikteta museven,walibya nao wamedanganywa na marekani wamuondoe muamary gadaff lkn wote hao wanajuta kwa kua maisha yao yamezidi kua magum kinyume na matarajio,haya yanatunyemelea si watanzania,tusifanye kosa kumkabidhi dr.slaa maana si muadilifu na mzalendo wa kweli,ni mnafiki anaetumi matatizo yetu kama mtaji wa kisiasa,manene yake yalitumiwa na museven na waasi wa libya wakati wa mapinduzi.tunataka mabadiliko lkn mabadiliko chanya yatakayo tutoa ktk hali mbaya ya sasa na kwenda ktk hali nzuri.wapo watu wenye taaluma zao na si taaluma ya mahubili ya kuchangisha sadaka na kisha kuzitimia kujineemesha.slaa ni msaliti hata wa nafsi yake,vipi mtu huyu umpe nchi tutajuta kama walibya na waganda.
 
Huna sababu ya kumuamini na hujawahi kumuamini kwa kuwa ndivyo ulivyoelekezwa na lumumba!
 
Yaani wamekamia sana kumchafua Dk. CCM hovyo kabisa, wamekwenda kwenye mtindo waliofundishwa na baba yao, wa character assassination, unakumbuka mazungumzo baada ya habari wakati ule, enzi za ujinga na ujima, radio moja, gazeti moja chama kimoja, hakuna TV. Taifa likitengeneza maamuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…