Samaritan Nemesis
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 239
- 284
KHAMakonda simkubali, ila hiyoo nafasi ya waziri mkuu angekuwa nayoo angefanya mambo mengi sana.
KHAMakonda simkubali, ila hiyoo nafasi ya waziri mkuu angekuwa nayoo angefanya mambo mengi sana.
Hapana! Ila wengi wao wenye akili ya kujiongeza wakipita veta wataziona fursa nyingi ambazo katika vyuo vya kawaida hazionekani! Wakuzitumia watazitumia,wakulalamika wataendelea kulalamika!Wakienda VETA tatizo lao la Ajira linakwisha?
Vyuoni napo wanatoa ujuzi pamoja na utaalamu ndio maana kuna walimu wanatoa huduma ya tuition na kuna wanasheria wengi wamekuwa mawakili wa kujitegemea kwa hiyo sio wote wahitimu wanatumia ujuzi na elimu yao kuibadirisha kuwa pesa kutokana na kutoona fursa na gharama pia.Kwamba ktk degree yake hakupata ujuzi?,mpaka akaupate VETA?
Huyu PM ukimchunguza vizuri utabaini aliwekwa pale na Magu kwasbaba alikuwa dhaifu kichwani tena sio yeye hata Yule mama mkuu wa machawa.Anasema wahitimu wenye degree waende VETA ?
Tatizo kubwa la vijana ni ajira hili lipo wazi.
Kwamba kwenda VETA ni muarobaini wa kukabiliana na tatizo la ajira?,halaah sijaelewa
Vijana wote waliopita VETA wana ajira ndicho anachotaka kutuambia?,simuelewi.
Kwamba mimi nina degree ya ETE sona ajira,haya niende VETA nikasome Electronics au CCTV camera installation ndio nitapata ajira au vipi?.
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Vipi yeye vijana wake wenye degree amewapeleka VETA na ameona mafanikio hivyo anataka nasi tufuate nyayo? Aaaaw.
Vipi huko VETA watasoma bure ama namna gani vipi?
Yale yalikuwa ni mapendekezo yake binafsi kama Kassim ama kama PM?.
Vyuoni napo wanatoa ujuzi pamoja na utaalamu ndio maana kuna walimu wanatoa huduma ya tuition na kuna wanasheria wengi wamekuwa mawakili wa kujitegemea kwa hiyo sio wote wahitimu wanatumia ujuzi na elimu yao kuibadirisha kuwa pesa kutokana na kutoona fursa na gharama pia.
So sio vibaya kwa muhitimu kutafuta ujuzi kwa sababu ameona fursa na anataka kuichukuwa kwa ajili ya maendeleo yake bi
Kutafuta ujuzi kwa sababu ya kuona fursa hii ni mada nyingine sababu mtu anakuwa tayari ana mikakati na anakuwa tayari specific ktk reasonable issue.Vyuoni napo wanatoa ujuzi pamoja na utaalamu ndio maana kuna walimu wanatoa huduma ya tuition na kuna wanasheria wengi wamekuwa mawakili wa kujitegemea kwa hiyo sio wote wahitimu wanatumia ujuzi na elimu yao kuibadirisha kuwa pesa kutokana na kutoona fursa na gharama pia.
So sio vibaya kwa muhitimu kutafuta ujuzi kwa sababu ameona fursa na anataka kuichukuwa kwa ajili ya maendeleo yake binafsi.
Wenye akili ya kujiongeza,,kwa wasio na akili ya kujiongeza? Mtu kasona mechanical engineering kashindwa kujiajiri,haya aende Veta akasome ufundi magari ama kuchoma vyuma?Hapana! Ila wengi wao wenye akili ya kujiongeza wakipita veta wataziona fursa nyingi ambazo katika vyuo vya kawaida hazionekani! Wakuzitumia watazitumia,wakulalamika wataendelea kulalamika!
WE NI MJINGA TUKatoa ushauri wa kiume,kaongea kama baba,hakuna kuremba remba maneno,kaongea ukweli,japo mchungu!
Hakuna nchi imeajiri watu wake wote duniani,hakuna!
Amewafumbua macho,amewatoa uzubavu,kwamba wachangamke,kwa pale amesema veta tu ila kamaanisha wajiongeze,wawe wabunifu na miongoni mwa sehemu ya kuongeza maarifa ya ziada ni veta!
Serikali inatoa mikopo kila siku kwa vikundi vya vijana!
Wakachukue wakatumie elimu zao kwenye kilimo,uvuvi,ujasiamali,kila mtu kulingana mapenzi na uwezo wake.
na kwa njia hii ndio nchi kama china,india zilivyoweza kupiga hatua!
basi tu ni vile wengine wataitumia kauli yake kisiasa!
Binafsi nimemkubali,hajataka kuwapaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa!
Wewe ni mwerevu sanaWE NI MJINGA TU