Sijafanikiwa kwa hiyo natangaza kwa mara ya mwisho

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
1,132
260
Wakuu hii ni mara ya mwisho kutangaza.Natafuta mchumba au girlfriend.SIFA ZANGU MIMI SAYANSIKIMU ni kama zifuatazo .KABILA mgogo DINI mkristo NYUMBANI dodoma UMRI miaka 23 .RANGI YA NGOZI mweusi .KAZI mwanachuo. Naomba girl friend huyo atakaye jitokeza awe na sifa zifuatazo.Mvumilimu, Mwaminifu, Mpole, Asiyependwa Kuhongwahongwa, Asiyependa Vitu Vya Gharamagharama , Awe Tayari Kuishi Maisha Ya Kawaida, Awe Hana Boyfriend, Awe Anaishi Kwa Wazazi Wake, Awe Hajawahi Kujihusisha Na Mahusiano au bikira , Awe Ameokoka , Awe Mkristo , Awe Tayari Kupima Afya Yake , Awe na umri chini ya miaka 22. Asiwe Na Wivu Wa Kijinga.Awe Anaheshima Kwa Wazazi Wake.Awe Serious Au Awe Anamaanisha Kweli .Milango ipo wazi kwa PM kama unavigezo hivyo au vinakaribia kufanana na hivyo karibu.kwa mazunguzo mimi nipo serious kama kweli nawewe upo serious karibu kwa mazungumzo .
 
Awali nilipokua napitia post zako nilihisi kuna kitu hakiko au hakijakaa sawa kwako. Sasa nakubaliana na hisia zangu.....

Kila la kheri mkuu sayansikimu.
 
weka picha yako labda watavutiwa manake hivyo vigezo na masharti ulivyoviweka naona kama mtu huyo hapatikani.

tunalipia kiingilio tuitazame mechi hii.
 
Wakuu hii ni mara ya mwisho kutangaza.Natafuta mchumba au girlfriend.SIFA ZANGU MIMI SAYANSIKIMU ni kama zifuatazo .KABILA mgogo DINI mkristo NYUMBANI dodoma UMRI miaka 23 .RANGI YA NGOZI mweusi .KAZI mwanachuo. Naomba girl friend huyo atakaye jitokeza awe na sifa zifuatazo.Mvumilimu, Mwaminifu, Mpole, Asiyependwa Kuhongwahongwa, Asiyependa Vitu Vya Gharamagharama , Awe Tayari Kuishi Maisha Ya Kawaida, Awe Hana Boyfriend, Awe Anaishi Kwa Wazazi Wake, Awe Hajawahi Kujihusisha Na Mahusiano au bikira , Awe Ameokoka , Awe Mkristo , Awe Tayari Kupima Afya Yake , Awe na umri chini ya miaka 22. Asiwe Na Wivu Wa Kijinga.Awe Anaheshima Kwa Wazazi Wake.Awe Serious Au Awe Anamaanisha Kweli .Milango ipo wazi kwa PM kama unavigezo hivyo au vinakaribia kufanana na hivyo karibu.kwa mazunguzo mimi nipo serious kama kweli nawewe upo serious karibu kwa mazungumzo .

Kumpata mwenye sifa hizo itakubidi ufe kwanza.
 
Jaribu facebook!
 
Unatangaza au unapiga mkwara??
 
Kwahiyo wanawake wote humu jf ni used? Aah yaani ile kitu ishatolewa? Lakini nadhani amesema na wale wenye sifa kama hizo, yaani waweza kuwa huna bikira lakini bado ukawa unamfaa. Mpeni japo nafasi jamani mwana wa mwenzenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom