Sijaelewa meseji hii..

Sijaelewa meseji hii..

Mhusika mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
454
Reaction score
538
Ndg wanajamvi salaam, kwa wiki hii nzima nimepata meseji ambayo siielewi kutoka 15453, nanukuu; "GeoPoll: Udjibu ndiyo kua itshika mawulizo 4 geopoll kua ku saidiya umodja wa taifa lengo. Ushiriki sawuti yako na dunia. Akuna gaharama kua kudjibu." Naomba ufafanuz kwa aliyeelewa,naamini kuna wengine pia mlopata msg hii.
 
Nikweli,ila nadhani wanafanya research tu,wewe endelea nayo kuna maswali utaulizwa na utajibu mpaka mwisho watakuwa wamekamilisha kazi yao,lakini si lazima unaweza kuamua kukaa kimya,hamna shida pia
 
Nikweli,ila nadhani wanafanya research tu,wewe endelea nayo kuna maswali utaulizwa na utajibu mpaka mwisho watakuwa wamekamilisha kazi yao,lakini si lazima unaweza kuamua kukaa kimya,hamna shida pia

Poa,nashukuru Kanabali.
 
Back
Top Bottom