Sijaelewa kabisa maana yake!

Sijaelewa kabisa maana yake!

mbona rahisi.....huwa inatokeaga maeneo mengi hasa bar/restaurants wanatoa kama warning kwa mtu asie mteja asipite eneo hilo mf:huduma za choo kwa mtu asie mteja analipia while mteja halipii...huwa ni vigumu kuwatofautisha watu hao lakini huwa ni kama angalizo kwa mgeni yeyote

natumai nimekutoa kwenye wingu zito la ngono km si gest lililokua limekutanda Tasia 1 ata kama hutaki...
 
Ama kweli wewe kichwa ngumu, umeambiwa KAMA WEWE SI MTEJA WALA MHUDUMU-USIPITE NJIA HIYO!!!
Hujaelewa mpka hapo?
 
Ungetafuta mtu aliye karibu na hapo au mwenyeji ukamwuliza.
 
Ina maana Kibaka,Changudoa,Kakapoa,Mwizi na wengineo wanaokwenda sehemu kupumzika tu hawanunui au huishia kuomba wateja ambao ni kero kwa wahudumu na wateja ni marufuku katika eneo hilo nahisi ni la biashara.
 
Mbona kila kitu kipo wazi huelewi nini sasa hapo?
 
Back
Top Bottom