David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,604
- 8,564
hapo umenena kiongozi nacte waanze mfumo wa kuwatungia mtihani,wenzao CLINICAL MEDICINE wanatungiwa mtihani na wizara ya afya.Dah kumbe diploma mdebwedo sana,yani olev ulifeli ukaenda diploma ila huko umetoka na 4.8! Dah kuna haja ya diploma kutungiwa mtihani na NECTA