SubiriJamani hivi provisionally selected it means tusubiri,au inakuwaje?.maana kuna chuo kimoja bado hakijatoa majina nilichokiomba.
alaf kweli hv hii ishu ya provisionally selected inakuwaje? mnipe jibu fasterMmmh jaman pole Kwan profile yako inasemaje mana wengi wameabiwa provisionally selected
niliomba NIT,DIT ARUSHA , NA UNIQUE ACADEMY ... But ni arusha tu ndio wametoa majina na vingine hivyo badoooo so.?Tembelea vyuo ulivyoomba utaona jina lako
Sina uhakika mkuu, yawezekana ikawa ya tatu.hebu vuta subrajaman mm nimeambiwa wait for next round sasa sijajua iyo ni round gan je yatatu au
Kufel form four sio kwamba mtu hana akili hyo ni mipango ya mungu tu sio lazma uende advance ndo uonekane una akiliDah kumbe diploma mdebwedo sana,yani olev ulifeli ukaenda diploma ila huko umetoka na 4.8! Dah kuna haja ya diploma kutungiwa mtihani na NECTA
Wewe kila siku unaongeaga pumba.ITAKUA NYOTA YAKO HAING'AI..!
sasa mkuu kwan first imeshatoka na second tayar au nishachanganyikiwa tena niliomba open univasity ndio ulikuwa chaguo langu la kwanza duhSina uhakika mkuu, yawezekana ikawa ya tatu.hebu vuta subra
Wewe kila siku unaongeaga pumba.
Ukiwepo wewe.sababu nguruwe na misukule jf mko wengi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee.ITAKUA NYOTA YAKO HAING'AI..!