Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

Ukiwa mtu msomi huwez kujibu ujinga kama huo mtu anaejitambua ni msomi halafu msione watu wanapaform vizur mkawadharau kisa diploma holder achen ujinga embu jitambuen kama huna cha kucomment kaa kimya soma post then tulia
acha kutokwa na povu mdogo wangu nimeongea ukweli mtupu,vyuoni kwenu wengi wenu mnabebwa mnapewa GPA ya chupi mtu anapata GPA 4.8 eti ana sifa!!
Nyinyi dawa yenu muwe mnatungiwa mtihani na nacte akili ndio zitawakaa sawa.
Wenzenu wa clinical medicine wanapewa mtihani na wizara ya afya wakishirikiana na nacte,na uko haukuti first class za ovyo kama za uko kwenu.
Ukweli ndio huo wadogo zangu poleni sana
 
Watu wakifeli mnawaita ******! Haya sasa watu wamekaza wamepata 4.3 to 4.8 unadhani wamebebwa! Huo ulionao ni wivu wa KIKE, hao medical wameshindwa kufikisha 4 kwa sababu hawajitumi kama wenzao wa course zingine ..over
usifananishe medical na hizo course zenu za kike,medical inahitaji akili kubwa.
Nyiny dawa yenu mpewe mtihani wa nacte hizo GPA zenu na vyuo vyenu vinaleta ukakasi,haiwezekani mtu apate GPA 4.8 halafu aachwe kizembe
 
Napenda kuwapa ushauri vijana wenzangu. Kuwa na gpa 4.5 inaweza isiwe kigezo cha wewe kupata chuo au kutopata. Kuna mengi sana wakati wa kufanya selection. Fikilia chuo kinanafasi 80 na walio omba ni zaidi ya 200. Kwanza kunawatu wana div 1 za point 3 yaani ana A zote alafu ww una gpa 4.5 na mko wengi yaani wakipanga kwenye ascending order automatically wewe huchaguliwi.

Pili hii thread inawatu wawili. Wakwanza anauluzia selection ya diploma na wa pili anaulizia selection ya bachelor degree. Kwahiyo michango yenu inakanganyana. Ingekuwa vizuri unapocoment unasema kama ww uliomba diploma au degree. Pia kwa walio omba degreee kunawatu wanatoka kwenye vyuo ambavyo hujitangaza kuwa vimesajiliwa na nacte. Lakini kiuhalisia ukimaliza hivyo vyuo huwezi kujiunga na chuo kikuu.
Nafasi za watu wa diploma huwa zimetengwa kabisa
 
Nikikuita ******** nitakuonea ila akili zako hazijitoshelezi/unbalanced.,.....
Hivi unawezaje fananisha mtu mwenye ACSEE na DIPLOMA....asilimia kubwa ya vitoto vya form six havina future vinakariri tu madarasani....
Mpeleke kwenye soko la ajira mwenye diploma na mwenye form six ndo utaelewa
Acha wivu wewe elimu ya a level ni ngumu kuliko diploma na asilimia kubwa ya waliofeli na wenye ufaulu hafifu wamekimbilia diploma endeleeni kujipa moyo tu.
A level kufeli ni nje nje tofaut na diploma,ukifeli dip wewe ni kilaza.
Advance kibaha boys nilitoka na div 1:4 nikaenda muhas nikatoka na GPA 3.5,Kwanini wewe useme elimu ya A level haina future?nani amekukalilisha?
 
usifananishe medical na hizo course zenu za kike,medical inahitaji akili kubwa.
Nyiny dawa yenu mpewe mtihani wa nacte hizo GPA zenu na vyuo vyenu vinaleta ukakasi,haiwezekani mtu apate GPA 4.8 halafu aachwe kizembe
Electrical Engineering course ya kike [emoji23] [emoji23] [emoji23] we dogo UNAGUSWA! sio bure kwani MD hakuna mademu wanaosoma hizo? Demu wangu mwenyewe anapiga MD kam pale dogoi
 
Electrical Engineering course ya kike [emoji23] [emoji23] [emoji23] we dogo UNAGUSWA! sio bure kwani MD hakuna mademu wanaosoma hizo? Demu wangu mwenyewe anapiga MD kam pale dogoi
Dogo ebu nitake radhi mimi ni kaka yako aisee iweje uniambie naguswa?,okay nilidhani na wewe ndio walewale kumbe ni electrical engineering.
Halafu DOGO pale KAM hawatoi MD,pale wanatoa dip clinical medicine.
Na hiyo electrcal engneerng wenzako wamechaguliwa kitambo tu,mdogo wangu amechukuliwa UDSM alikuwa na GPA 3.6 civil engineering,sasa nawashangaa nyiny vihiyo mliopata GPA 4.8 ya electrical engineering halafu mmetemwa
 
usifananishe medical na hizo course zenu za kike,medical inahitaji akili kubwa.
Nyiny dawa yenu mpewe mtihani wa nacte hizo GPA zenu na vyuo vyenu vinaleta ukakasi,haiwezekani mtu apate GPA 4.8 halafu aachwe kizembe
We bado una akili za mtoto wa miezi mitatu hv kuna kozi za kitoto hapa TZ na usijidanganye kwamba kozi ulizozitaja kwamba hakuna watu ambao hawana first class we jisemee ww cio watu wote yan wenye first wanakucheka kwa dharau. Acha ujinga kijana umesoma lakni hujaelimika
 
Dogo ebu nitake radhi mimi ni kaka yako aisee iweje uniambie naguswa?,okay nilidhani na wewe ndio walewale kumbe ni electrical engineering.
Halafu DOGO pale KAM hawatoi MD,pale wanatoa dip clinical medicine.
Na hiyo electrcal engneerng wenzako wamechaguliwa kitambo tu,mdogo wangu amechukuliwa UDSM alikuwa na GPA 3.6 civil engineering,sasa nawashangaa nyiny vihiyo mliopata GPA 4.8 ya electrical engineering halafu mmetemwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nani kakwambia nimetememwa? Nitaku pm jina langu mwambie mdogo wako anitafute hapohapo UDSM tufanye competition
 
Wewe umeongea fact gani? Tena kwa ufinyu wa akili yako kaanze certificate, hata kama una degree.
Maana inaonekana unakua mwili tuu huku akili zimegoma kabisa.
Nafuuu yako wew ulieanza certicate hadi diploma ukajikuta kipanga kumbe kihiyo tu, ukitaka kujijua kama wew kweli kihiyo tafuta past paper ya Advance mathematics2 jaribu ku solve maswali mawili tu. Uone cheche zake mdogo wangu
 
Kwa mwaka huu form six ana compete na form six mwenzie, diploma na diploma mwenzie. Kama kozi fulani ina capacity ina capacity ya watu 80 kwa mfano, zitagawanywa katika makundi mawili form six 65 na diploma 15, hata ikatokea applicants wa diploma walioomba wakawa millioni moja ujue watashindania nafasi 15. Source TCU guidebooks 2016/2017 (for form six applicants and that for applicants with diploma qualifications).

Suala la pili, HAIWEZEKANI nikawa na GPA ambayo ni zaidi ya 3.0 na o level nikawa na zaidi ya D NNE au zaidi ya C tatu halafu nikakosa chuo kwa sababu inayosomeka "YOU DO NOT MEET MINIMUM QUALIFICATION" labda waseme kwamba COMPETITION ilikua kubwa, wenye vigezo vya juu zaidi yangu ndio wamepata.
Kukosa chuo huwezi... Ila shida unakosa chuo unachokitaka wewe hahah....then ulotusua
 
We bado una akili za mtoto wa miezi mitatu hv kuna kozi za kitoto hapa TZ na usijidanganye kwamba kozi ulizozitaja kwamba hakuna watu ambao hawana first class we jisemee ww cio watu wote yan wenye first wanakucheka kwa dharau. Acha ujinga kijana umesoma lakni hujaelimika
na wewe ni mmoja wa vihiyo acha kutokwa povu,mimi nimewaambia hao madogo inabidi wawe wanatungiwa mtihani na nacte kama wenzao wa dip clinical medicine.
Huko vyuoni mwao wanabebwa sana na hizo GPA zao ndio maana nasema nacte lazma wahusike.
Hata hawa clinical medicine kipindi cha nyuma walikuwa wanapewa sana GPA za kubeba cz mitihan walikuwa wanatungiwa hapo hapo chuo na wanasahihishiwa hapo hapo first class zilikuwa nyingi sana.
Lakini tangu nacte na wizara ya afya waanze system ya kuwapa mitihan na mitihan inasahihishiwa dodoma mbona hizo GPA first class zilipungua sana na mpaka sasa.
 
Usijidanganye et elim ya diploma ni simple au mtu kabebwa chuo sio kwel hiyo ni mtu ka fight kufaulu halafu no research no right to speak are sure all diploma holders have meet requirement to apply degree? be careful with your words
Jamaa wana mitazamo hasi sana..kuhusiana na diploma holders.... Ngoja udahili uishe.. Tukitane huko chuo
 
Wapo wengi sana, na pia wapo wanaodisco kabla hata ya kumaliza. Tofauti na form 6 lazima wote wamalize,
Na pia isitoshe sehemu inayokuja kupima uwezo wa mhitimu wa form six na diploma ni chuo, maana pale wanasoma darasa moja, mtihani mmoja ndipo kila mtu atajua uwezo wa mwenzake,
Haha... First class holder VS div 1 form6 leaver
 
Nafuuu yako wew ulieanza certicate hadi diploma ukajikuta kipanga kumbe kihiyo tu, ukitaka kujijua kama wew kweli kihiyo tafuta past paper ya Advance mathematics2 jaribu ku solve maswali mawili tu. Uone cheche zake mdogo wangu
Nitakuchapa makofi,
Nimesoma lakwanza hadi nimemaliza chuo kikuu bila kufeli wala kurudia hata darasa moja... sawa dogo? Mimi ni msomi hivyo najua kupima mambo. Sawa???
Hesabu ya advance sijui ya wapi ina faida kwa yule ambaye anaihitaji. Au unazani kujua hesabu ni umemaliza kila kitu? Chuo wanasoma fani hawaangalii kipanga wa hesabu wala nini.
Tatizo lako unakariri maisha. Jitahidi sana ukue akili na mwili kwa pamoja.
 
Acha wivu wewe elimu ya a level ni ngumu kuliko diploma na asilimia kubwa ya waliofeli na wenye ufaulu hafifu wamekimbilia diploma endeleeni kujipa moyo tu.
A level kufeli ni nje nje tofaut na diploma,ukifeli dip wewe ni ******.
Advance kibaha boys nilitoka na div 1:4 nikaenda muhas nikatoka na GPA 3.5,Kwanini wewe useme elimu ya A level haina future?nani amekukalilisha?
Wewe na 1 ya 4 yako... Ulikuwa unafaulu.. Ila ulikuwa bado hujajitambua... Thus y uka drop.. Wakati ulitakiwa utoke na above 4.....haha... Uko sawa na aliye maliza darasa la saba na marks 215...alafu form 4 ana div 4....unadhani tatizo ni nini.... Self determination.. Wanafunzi huanza kujitambua pale anapo feli 4m 4...usishangae First class
 
Back
Top Bottom