Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

Sijachaguliwa na nina GPA ya 4.0

1476167256013.jpg
maelezo ya TCU haya hapa
 
Dah waliokaribu na office za nacte wakatusaidie kuuliza wengne tupo mkoa
 
Walichokieleza hapo n ..kwa wale ambao hawajachaguliwa mpaka sasa.TCU wamefungua third round ...lakini kwenye hiyo third round...watakuta vyuo ambavyo bado vinahitaj watu...kwa maana nyingine ni kuwa...tayar kuna baadhi ya vyuk vimeshajaa kwenye coarse husika...
 
Mimi sioni mantiki ya MTU kuomba tena, kama mtu ana GPA above the required one, o level ana credits za kutosha halafu ameambiwa HANA MINIMUM QUALIFICATION, sasa si ataambiwa vilevile .

Kufanya mambo yaleyale kwa namna ile ile na kutegemea matokeo tofauti ni UJINGA.
 
Hiv inawezkana mtu kuenda kuapply chuoni halafu wao wakapeleka jina tcu.. tcu wanaweza kubali
 
Si bora ninyi mmeona kabisa not eligible ili mchague course zingine....

Mimi nimeambiwa tu wait for next selection.

Sioni kwanini sijachaguliwa wala siwezi kuona hata course zile nilizochagua.

Just patiently waiting
 
Back
Top Bottom