babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,327
Mkuu wako watu dit wana gpa mpaka ya 4.6 na hawajapata
Rubi unaenda wapi?ITAKUA NYOTA YAKO HAING'AI..!
Pole mkuu. Tukutane nacte pale ili watueleze vzuriPole mkuu, kilichokukuta ndicho kimenikuta na mimi. Nina GPA ya zaidi ya 4, o level Nina credits zote tisa. Halafu nimeambiwa not eligible kwenye kozi zote nilizoomba. Nimesoma diploma ya mifugo na niliomba kozi ambazo ni mwendelezo wa mifugo (veterinary medicine, animal science, fisheries, beekeeping) sasa nashindwa kuwaelewa NACTE wanataka nini haswa.
Uliomba chuo ganiYan nacte cjui wana matatzo gan coz mm nina GPA 4.8 then wananania y don't have minimum requirements
Nahisi wiki hii kwani first year wanaanza kureport tarehe 17Lini SUA watatoa second selection ya wanafunzi?
HONGERASi bora ninyi mmeona kabisa not eligible ili mchague course zingine....
Mimi nimeambiwa tu wait for next selection.
Sioni kwanini sijachaguliwa wala siwezi kuona hata course zile nilizochagua.
Just patiently waiting
Non sense!Dah kumbe diploma mdebwedo sana,yani olev ulifeli ukaenda diploma ila huko umetoka na 4.8! Dah kuna haja ya diploma kutungiwa mtihani na NECTA
Hiyo 4.2 umesoma wapi?Yaan sijui hawa NACTE wanaangalia nn..!! Nina GPA 4.2 ya Mechanical Engineering wananiambia NOT ELIGIBLE tena sina Minimum Requirements wakat O'level nina vigezo walivokuwa wanavitaka..!!
Ngoja nione na hii Third Round itakuaje...!!!
Tupo wengi usiogope.... Tusubiri third roundjaman mm nimeambiwa wait for next round sasa sijajua iyo ni round gan je yatatu au
Tusubiri. Hata mimi nimeomba Open, ndio first na second choice.sasa mkuu kwan first imeshatoka na second tayar au nishachanganyikiwa tena niliomba open univasity ndio ulikuwa chaguo langu la kwanza duh
Daaa mimi na 4.5 gpa... First selection niliweka Ardhi Baf.... UD.. BCOM.. NA MZUMBE.... Ila sijachaguliwa.... Na Ardhi sidhani kama wametoa batch la diploma holders... Hata mimi sijui tatizo ni niniNiliomba BAAF MOCU MZUMBE BAF IAA BA YA A/C IFM A/C NA ARDH B.SC AF TATIZO MSAADA JAMANI
Sio wote wanaofeli form 4...ni wajinga... Kuna mwanafunzi alipitia certificate alikuwa na D plan na C ya math.... Alimaloza diploma na gpa ya 4.6...akaingia Mzumbe... BAF alikutana na form 6 wenye division 1 ya eca... Na form 4.....ila shuhuli waliiona... Alikuwa yuko competent zaidi ya hata hao form 6 magenius.... Aka graduate na first class... Na mwaka huo zilitoka chache.. Single digit.... Take care hao watu ni hatari... Kaamua kusoma... Na wako wengi tu..Dah kumbe diploma mdebwedo sana,yani olev ulifeli ukaenda diploma ila huko umetoka na 4.8! Dah kuna haja ya diploma kutungiwa mtihani na NECTA
Ndo nimemwambia yule jamaa... Anayedharau diploma holder... Atakutana na wale wenye div 4 ya vyeti... Halafu kichwani ana 1 hahahaKufel form four sio kwamba mtu hana akil
Bro nimekuelewa... Ila diploma holder si wameekewa capasity yao... Na form 6 wana yakwao... Inamaanisha dip holder against dip holder... Na form 6 vs form 6....au inakuaje?....kw mfano Ardhi kabla ya mchakato kuanza Baf.. Capasity ilikuwa 10....kw walio appy nacte.... Kw ulivyosema wewe... Ina maanisha chuo kinahitaji wanafunzi 10 tu..... Au kumi tu wa diploma holders?Napenda kuwapa ushauri vijana wenzangu. Kuwa na gpa 4.5 inaweza isiwe kigezo cha wewe kupata chuo au kutopata. Kuna mengi sana wakati wa kufanya selection. Fikilia chuo kinanafasi 80 na walio omba ni zaidi ya 200. Kwanza kunawatu wana div 1 za point 3 yaani ana A zote alafu ww una gpa 4.5 na mko wengi yaani wakipanga kwenye ascending order automatically wewe huchaguliwi.
Pili hii thread inawatu wawili. Wakwanza anauluzia selection ya diploma na wa pili anaulizia selection ya bachelor degree. Kwahiyo michango yenu inakanganyana. Ingekuwa vizuri unapocoment unasema kama ww uliomba diploma au degree. Pia kwa walio omba degreee kunawatu wanatoka kwenye vyuo ambavyo hujitangaza kuwa vimesajiliwa na nacte. Lakini kiuhalisia ukimaliza hivyo vyuo huwezi kujiunga na chuo kikuu.
Nakumbuka sisi ndo tulikuwa wakwanza kutumia cas na ilikuwa idadi inayoonekaza ni uwezo wa kozi husika kuchukua idadi ya watu yaani direct+diploma. Yaani kama ni ...60 jua hapo ni wote. Sina uhakika kama kunamabadilkoBro nimekuelewa... Ila diploma holder si wameekewa capasity yao... Na form 6 wana yakwao... Inamaanisha dip holder against dip holder... Na form 6 vs form 6....au inakuaje?....kw mfano Ardhi kabla ya mchakato kuanza Baf.. Capasity ilikuwa 10....kw walio appy nacte.... Kw ulivyosema wewe... Ina maanisha chuo kinahitaji wanafunzi 10 tu..... Au kumi tu wa diploma holders?
Nakumbuka sisi ndo tulikuwa wakwanza kutumia cas na ilikuwa idadi inayoonekaza ni uwezo wa kozi husika kuchukua idadi ya watu yaani direct+diploma. Yaani kama ni ...60 jua hapo ni wote. Sina uhakika kama kunamabadilko
Pole mkuu. Tukutane nacte pale ili watueleze vzuri