Siipendi tabia hii

mimi sipendi sana tabia ya demu goli kipa pia siyo endelevu kwa maana ya kwamba shuleni alikuwa mzembe huwezi kumuendeleza kwa sababu form 4 alipata zero, halafu anataka uwe unamkatia hela za kumtosha yeye na ukoo wake mzima, ukikauka anakuzongazonga. ukivunja uhusiano anakuganda mpaka ofisini ukimwabia ofisini ni sehemu ya kazi siyo ya kukutana na marafiki anakaa nje mpaka muda wa kazi uishe sipendi na sipendi kabisa kama mpo huku jamvini mkome na mkome kabisa........
 
Ngararimu umenishekesha sana huo demu wa wapi? mbona hayo mambo kitambo sana!
 
mimi sipendi sana tabia ya demu goli kipa pia siyo endelevu kwa maana ya kwamba shuleni alikuwa mzembe huwezi kumuendeleza kwa sababu form 4 alipata zero, halafu anataka uwe unamkatia hela za kumtosha yeye na ukoo wake mzima, ukikauka anakuzongazonga. ukivunja uhusiano anakuganda mpaka ofisini ukimwabia ofisini ni sehemu ya kazi siyo ya kukutana na marafiki anakaa nje mpaka muda wa kazi uishe sipendi na sipendi kabisa kama mpo huku jamvini mkome na mkome kabisa........

Hayaa baba, nimekoma....
 
Mi sipendi tabia za midume kupiga mizinga wanaume wengine bila aibu...wanakera sana
 
mi sipendi tabia ya watu kuomba pombe eti nitoe loku!wanakera sana tena huku mtaani kwetu ndo wako wengi
 
...sipendi mtu kutema kohozi/kupenga kamasi kwenye kadamnasi.
 
Tabia ya mistrust... kila saa maswali ya uko wapi? uko na nani? unafanya nini?.... kwangu siipendi

mkuu,wivu unahusika sana!
 
wananikeqa madem ambao ukiwatokea wanasema ooh! Mi nlikuwa nakuheshimu. Kwan mtu akikutokea ndo umdharau?
 
Tabia inayonikera na kuniletea presha kubwa ni pale mtu usiyemjua anakupigia simu halafu ankuuliza kwa sauti ya kuamrisha:'Wewe nani?'
 
Back
Top Bottom